Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,450
- 25,155
Kama shida uterezi chemsha bamia ikitoa ule uterezi fanya yako......muwe na adaburaha uumpe na hela utoe isee kaka haupo siliaz
utamu unao mwenyew kwa dem tunafata uterez tu![]()
Kama shida uterezi chemsha bamia ikitoa ule uterezi fanya yako......muwe na adaburaha uumpe na hela utoe isee kaka haupo siliaz
utamu unao mwenyew kwa dem tunafata uterez tu![]()
AiseeKwa nini baadhi ya wanawake wanatabia za ajabu Sana? Mimi Nina demu mmoja kila nikimuita tuonane anakuja kweli lakini lazima aseme hajala hata kama ni saa ngp atasema sijala dear, naomba ushauri mwanamke huyu anamatatizo gani?
uterez wa kischana bab vp unawaza misosi tuKama shida uterezi chemsha bamia ikitoa ule uterezi fanya yako......muwe na adabu
Mwanamke kama uyo Mimi nngekuwa nmeshampa ukweli..ela unamtumia ya kutosha kabla hajafika kwako alaf akija anataka chakula..uyo nngempa ukweli na kumuacha juu.sipendi kero za kutafuta chakula.
kama ajashiba sasa acha basi roho mbayaLabda akanunue mwenyewe!huo usumbufu sitaki na siwezi vinginevyo alale njaa.kama hakushiba kwao aseme kabla hajafika kwangu nimtumie ela anunue chakula uko uko kabsa.![]()
![]()
kama ajashiba sasa acha basi roho mbaya
Jamanii si mdeko tuu na wewe na mbona upo ivyo etiii wee utaki ata kudekeza khaaaLabda akanunue mwenyewe!huo usumbufu sitaki na siwezi vinginevyo alale njaa.kama hakushiba kwao aseme kabla hajafika kwangu nimtumie ela anunue chakula uko uko kabsa.
Hapana mdeko..!usumbufu uho.Jamanii si mdeko tuu na wewe na mbona upo ivyo etiii wee utaki ata kudekeza khaaa
Noo sa inginee unakuta ata si njaa basi tuu amejisikia kukudekea basiiHapana mdeko..!usumbufu uho.
Nauli toka alipo hadi kwangu unakuta 1000 tu mtu unamtumia nauli15,000 bdo akifika analalamika njaa tatzo co chakula huwezi msema mtu kisa chakula tabia mbaya sana ila mazingira nayo yanaleta utata vdem vya uswahilini vna kusudi sana saa 11 hujala? cha mchana au jioni!Chakula nacho unalalamika?? Akiomba gari itakuwaje?
Acha uhuni aisee binti wa watu chakula.
jiulize angekuwa anakuna kisha hakupi papuchi ungekuwa naye?
Sasa kama umeligundua hilo jaribu kila unapo mwita muonane mwambie kabisa kula huko huko.
