Tabia za wanaume wa miaka 90's

Makau Js

Member
May 25, 2017
93
150
Siku zinavyozidi kwenda ndio tabia halisi za baadhi ya wanaume zinazidi kuwa dhaifu. Zamani wazazi wetu walikuwa wanazaa nje ya ndoa na waliheshimu mama zetu na walikuwa wasiri wakubwa sana, watoto hujulikana baada ya baba kufa ndio hujulikana.

Siku hizi baadhi ya wanaume wana tabia za kike kwa udhaifu wa kutokutunza siri vifuani mwao, akipata mwanamke wa nje anasahau kabisa familia yake na ndio maana ndoa zetu zimekuwa hazina mvuto kwa kukosa baadhi ya tabia halisi za wanaume.
 
Tized

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
4,024
2,000
Gone are those days.

Tunaishi kwenye kizazi kinachopenda meteremko hadi kufikiri/kutafakari.

The irony of our times:
Kijana amke, awaze instagram, wozap, kubeti, Mpira, "michepuko'', biere n.k
Mtu huyu anapata wapi muda wa kutafari issues, uelekeo wa maisha yake, uhusiano wake na muumba wake, kujifunza kujihusu na kuhusu mazingira yake na ulimwengu kiumla?
Wanakimbia matatitizo kwa kutengeneza tatizo jingine. Mfano; Mtu anagombana na mke wake, badala akae atatue tatizo, anakimbilia kutafuta mchepuko in the name of ''sitaki stress'' akili ya kushikiwa hii. We mainly grow through problems/challenges.

Tunahitaji muujiza kuhuisha ''reasoning''.
 
Asante mkuu
 
Kulupura

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
3,064

Tatizo lamichepuko linasababishwa na wanawake mwenyewe ukinieshim ntakueshim ukinipenda ntakupenda sasa nyinyi ujeuri moto kukuacha na shindwa coz tume make family why nisitafute mchepuko!
 
kawoli

JF-Expert Member
Feb 20, 2014
5,130
2,000
Me ninachokumbuka wanaume wa miaka ya 90 walikuwa wakirudi nyumbani wamelewa lazima wawadunde wake zao
 
BIGstallion

JF-Expert Member
Sep 13, 2016
6,391
2,000
Tatizo unahisi liko wapi,...mi nadhani ucareless wa hisia za MTU umetufikisha hapa,wanawake wamezidisha uselfish,..wanataka kila kitu wao na hawajui kua wanaume wamekua conscious na feelings zao,na wao wanaume wanataka kujisikia kupendwa na kujaliwa kama wanawake,... Tatizo linakuja kwa sababu mmoja hajajua mabadiliko ya kihisia ya mwenzake,ndo maana ndoa azidumu...na ukiangalia kwa makini,wanaume wanajali mchepuko kwa sababu wake zao wamegeuka visiki kweny kujali hisia za waume zao,
 
Tized

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
4,024
2,000
Kuna tofauti kubwa sana kati ya Mwanaume na kijana wa kiume.
Tofauti kubwa kati ya Gentleman and a man linapokuja swala la mahusiano.
Kuna tofauti kati ya mwanaume na mwanamume ''Hahahahahahaa nimechomekea tu"

Mimi ni kijana, lakini tatizo letu kubwa vijana tumekua soft and nice kuanzia kufikiri hadi matendo.
Pia kupenda mteremko wa maisha hadi kufikiri.
Baya zaidi wengi wetu ni kama vile tumeshaamuliwa namna ya kuishi na ''umagharibi''.
Maisha yameonekana kuwa ni kuwa na Pesa, umaarufu na kuwa na utitiri wa warembo.

Inahitaji kuwa "mwanaume'' kumhimili na kumtawala ''mwanamke''.
Vinginevyo, jiandae tu kuumia au kuahirisha maumivu hadi tutakapoimba parapanda!!!!!!

Swali: Kwa nini unafikri mchepuko ni suluhisho?
Tatizo lamichepuko linasababishwa na wanawake mwenyewe ukinieshim ntakueshim ukinipenda ntakupenda sasa nyinyi ujeuri moto kukuacha na shindwa coz tume make family why nisitafute mchepuko!
 
No Escape

JF-Expert Member
Mar 7, 2016
6,708
2,000
Wanaume wa miaka ya 90 walikuwa wanaongoza kwa kupika,kufagia nyumba,kufua nguo mpaka za wake zao ndio maana Tamthilia za miaka hiyo nyingi zilikuwa hivyo! Walifanywa mazezeta mpaka wanasahau familia zao.
 
Jael

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
67,197
2,000
Gone are those days.

Tunaishi kwenye kizazi kinachopenda meteremko hadi kufikiri/kutafakari.

The irony of our times:
Kijana amke, awaze instagram, wozap, kubeti, Mpira, "michepuko'', biere n.k
Mtu huyu anapata wapi muda wa kutafari issues, uelekeo wa maisha yake, uhusiano wake na muumba wake, kujifunza kujihusu na kuhusu mazingira yake na ulimwengu kiumla?
Wanakimbia matatitizo kwa kutengeneza tatizo jingine. Mfano; Mtu anagombana na mke wake, badala akae atatue tatizo, anakimbilia kutafuta mchepuko in the name of ''sitaki stress'' akili ya kushikiwa hii. We mainly grow through problems/challenges.

Tunahitaji muujiza kuhuisha ''reasoning''.
Preaaaaaaach baba!
 
Jael

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
67,197
2,000
Kuna tofauti kubwa sana kati ya Mwanaume na kijana wa kiume.
Tofauti kubwa kati ya Gentleman and a man linapokuja swala la mahusiano.
Kuna tofauti kati ya mwanaume na mwanamume ''Hahahahahahaa nimechomekea tu"

Mimi ni kijana, lakini tatizo letu kubwa vijana tumekua soft and nice kuanzia kufikiri hadi matendo.
Pia kupenda mteremko wa maisha hadi kufikiri.
Baya zaidi wengi wetu ni kama vile tumeshaamuliwa namna ya kuishi na ''umagharibi''.
Maisha yameonekana kuwa ni kuwa na Pesa, umaarufu na kuwa na utitiri wa warembo.

Kwa nini unafikri mchepuko ni suluhisho?
Kikawaida wanawake wametuzidi akili, Inahitaji kuwa "mwanaume'' kumhimili na kumtawala ''mwanamke''.
Vinginevyo, jiandae tu kuumia au kuahirisha maumivu hadi tutakapoimba parapanda!!!!!!
Hakika umeongea na umemaliza kila kitu. Thats a man's talk.
 
Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
16,439
2,000
Nasikia baba yangu ana mtoto Uganda, Kongo, mtaa wa pili hapo, Msumbiji, Shelisheli na Zanzibar
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom