Tabia za wanandoa...............mmmh

manka81

Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
69
Reaction score
34
tabia za wanandoa kugombana bila sababu hata sizielewi kwani inakuwaje mnaoana bila kujuana tabia,mana kwa elimu yangu ndogo siku hizi watu hawachaguliwi wachumba,sasa unakuta watu wamefunga ndoa tu hata miezi 6 yandoa haijaisha vurugu mtindo mmoja huwa najiuliza inatokea vipi? hawakupendana au
Wanatuogopesha wengine kuingia humo
Wadau nielimisheni kuna nini humo?
 
Nani alikwambiia wote wanaogombana hawapendani? ukitaka kuhakikisha siku ukiona wanandoa wamegombana basi peleka uzinzi wako hapo uone cha mtema kuni.
 
Umevurugwa? Hebu tiririka tukupe maushauri juu ya taasisi yetu pendwa.

Afu hivi Asprin amekufilia wapi? Nimemmiss. BADILI TABIA msalimie mume wenu.
 
Last edited by a moderator:
leip simaanishi nataka kupeleka uzinzi wanatuogopesha tunaotaka kuolewa
 
wanatuogopesha tunaotaka kuolewa leip
 
wanatuogopesha tunaotaka kuolewa leip

wewe kama unataka kuolewa olewa tu, tabia za watu hutofautiana, unaweza ukapata mume mwema na unaweza vilevile ukapata mume pasua kichwa, walioko kwenye ndoa sio wote wanataabika kama unavyofikiria, wengine wana enjoy ile mbaya,

hata hivyo ukitaka mume bora na mwema lazima na wewe kwanza uwe hivyo hivyo, ebu fikiria.. kama wewe unatabia zako chafu then ukapata mume aliye tulia unafikiri ataweza kukuvumilia? Wakat mwingine tusikimbilie kulalamika kisa umeona ndoa ya fulan inamatatizo au imevunjika, kumbe hata wewe muolewaji mtarajiwa umesha chakazwa vyakutosha kabla hata hujaingia kwenye ndoa.

THINK TWICE..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…