Tabia za wadada kusema wewe sio wa type yangu huwatokea puani

Fact of the matter is, it's often the type that shouldn't talk about types that'll will curve you with the type lines. And it's the type of sorry-azz brothas that'll take it personally, and wish ill upon the mama(s).

Punchline, don't hate the player. Change the game, or comply. Besides, nobody wins all the time.
 
Jaman naomben ushaur mchhumba wangu kanitumia msg akisema anatongozwa na mfanyakaz mwezangu mi niko masomon leo mwez wa nne but sijamjibu chochote kuhusiana na hilo pia ametukanwa sana na mke wa jamaa sasa mazingira hayo nielewe kweli ametembea nae au anasingiziwa tu na nimjibuje ili niendelee kujua kinachoendelea
Hapa sio mahala pake fungua uzi wako
 
Unikome punguani wew wanijua mim na hayo ndo majibu saizi yako mfyiuuuuuuuuuuu hela huna kwa nin usiambiwe sio type yako
Anayekupa pesa kijinga kisa mapenzi yeye ndiye punguani na wewe uaeweka maisha rehani kwa wanaume wenye pesa ndio punguani kabisa,,,,,
 
Daaa hii mada imenigusa sana coz kuna binti enzi hizo nikiwa ktk mchakato wa kutengeneza maisha alinipa majibu ya aina hiihii japokuwa hapo mwanzo tulipendana sana bt kitendo cha kutoka na DED wa halmashauri ile kilimpa kiburi na kujiona yy ni top class, Leo hii maisha yamebadilika kila cku ni kupiga simu Peruu VP?mara ooh unajua nilikupenda sana Peruu hata sijielewi mpaka nikakusaliti!Huwa naishia kucheka tu kwasababu nishajua anakoelekea
 
Utakuta mkaka wa watu anakufuata ana nia nzuri akuoe ila unampandisha unamshusha mwishoni unaanza kusema wewe sio saizi yangu unangoja wa size yako anakuja kukukojolea tu hakuoi, unapoona umri unakutupa mkono unaanza kwenda kanisani kukesha upate Mme, hapa mchawi ni wewe mwenyewe, punguzeni nyodo muda nwingine
Tena akikoswa huko kanisani Anabaki ni kubadilisha makanisa kila kukicha. Wanaume siku hizi ni wa kulenga kwa manati ukicheza utaambulia kuliwa tu.
 
kuna kabnt kalimgeuka jamaang kwenye hatua za mwisho za kuoana, kuna jamaa n m2mish alkuja lkzo akakadanganya anaondoka nako lizkzo ikiisha, kakaanza kubwambia jamaa nmepata mwanaume wa ndoto yang, type yang na saiz yang, ndoto yangu ilkua n kuolewa na msom ambae kaajiliwa tayar we hata form six hujafka na ulifel form 4 ucje nlitea mitoto icyo na akil. kakambwaga jamaa kma mchele, uyo type yake akakagegeda wee likizo yote ilpoisha akasepa bila kuaga, kufatilia jamaa anafamilia yake uko alko, et kanarud kwa jamaa oho nsamehe n shetan tu alnpitia. kanatuma watu wazma na wazee wa kanisa wakamlainishe jamaa. jamaa ndo kwanza kashakasahau anafanya yake. polen mabnt najua mnapata shda sana, lakn msimamo n kitu muhm ktk mahusiano
Tamaa mbele mauti nyuma.
 
Sawa tumesikia, ila pia na nyie mue mnakubaliana na matokeo,mbona na nyie hua mna vigezo vyenu eeh mara mwenye boobs kubwa mara dimpoz...same applies to sisi...same applies kwa kila binadamu...kila binadamu ana vigezo vyake...sema hua kuna njia nzuri ya kumjibu mtu kama humtaki sio kusema tu wewe sio type yangu...
Kigezo chenu nyie huwa ni kimoja tu
 
Jaman naomben ushaur mchhumba wangu kanitumia msg akisema anatongozwa na mfanyakaz mwezangu mi niko masomon leo mwez wa nne but sijamjibu chochote kuhusiana na hilo pia ametukanwa sana na mke wa jamaa sasa mazingira hayo nielewe kweli ametembea nae au anasingiziwa tu na nimjibuje ili niendelee kujua kinachoendelea
Huyo keshatembea na mfanyakazi mwenzio.anaanza kutafuta sababu za kujilinda usishtuke. Shtuka
 
Jamani si mtuache, km sio wa type yake mtu asiseme? Atawezaje kuishi na mtu asiempenda? Acheni watu waolewe na wanaowapenda na sio mnavyotaka nyie. Ukiambiwa sio type yake, kubali!
 
Jamani si mtuache, km sio wa type yake mtu asiseme? Atawezaje kuishi na mtu asiempenda? Acheni watu waolewe na wanaowapenda na sio mnavyotaka nyie. Ukiambiwa sio type yake, kubali!
Kumwambia mtu sio type yako hilo sio tatizo, tatizo ni pale unapoanza kujirudi kwa mtu yuleyule na hapo ndio kiini cha huu uzi kilipo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom