Tabia za utongozaji wa wanaume

Hili ni tatizo la kisaikologia tu,nadhani wakipata ushauri nasaha wanaweza kubadilika!!
 
Napita tu,haya mambo ya globolaizesheni bwana kaaazi sana!
 
cyber sex nayo sio kubakwa? manake inabreki ze heart!
Hivi kumbe sikujua .. duhhhhhKwahiyo kila kila kikuvunjacho moyoTutakiita "kubakwa"Mmhh mi nlizani kubakwa ni pale Unapolazimishwa kufanta (tendo la ndoa) "SEX" bila Hidhini ya mtu..
 
Kwa mujibu ya tafsiri ya kubaka kwa mujibu wa sheria hapo atakuwa hajabakwa maana hili ubakwe 1,umelazimishwa kufanya mapenzi bila ya ridhaa yako,2,uwe na umri chini ya miaka18 hapa hata kama umekubali
 
Watu wamellaniwa mi namjua mdada alipata jamaa kwenye hii mitandao na likamla uroda siku ya kwanza kukutana sasa najuta sna..hali ni mbaya sana ukijipendekeza kwenye wanakula uroda shaa
 
Humjui namba yako atakuwa kaipata wapi au ndio wale wa kujifanya wamekosea namba!
 
Unakuta mwanaume humjui anakutongoza kwenye simu unakubali hivi hii ni akili kweli.Halafu unakuja kubakwa hivi utamlaumu nani.
ktk CHEMSHA BONGO MMU Afrodenzi kasema 40% ya wanawake huvutiwa na sauti kwanza. So sioni hatari ktk hilo bwana teh! Wanawake pendeni sana!
 
Jamani msiwalaumu wanawake kwani hawana kosa. Inatakiwa mtupe hongera wanaume kwa kuweza kuwashawish hawa wanawake mpaka wakaingia kingi na kuwamega.
 
Unakuta mwanaume humjui anakutongoza kwenye simu unakubali hivi hii ni akili kweli.Halafu unakuja kubakwa hivi utamlaumu nani.
Ukiona hivyo ujue ni Maharage ya Mbeya, very cheap, wanauza saaana hapa Dar, & elsewhere, or manungayembe, adios
 
Back
Top Bottom