Tabia za utawala ulioshindwa

gadafi alikuwa mfalme miaka ming lakin ukwel uliposimama alikipata kile alichofanyia wanyonge maskin aliye juu milele ni mungu tu zingatia haya we mtanganyika

Hijja; Pokea zangu tano. Laiti wenye meno hao wangelijua hili kuwa maji yaliyo tulia ndo hummeza mtu ghafla. Hasira hutokotea ndani, ikitibuka hata hiyo mimaji ya kuwasha haitawasaidia kabisaa, vifaru vya Mtwara vitaonekana baiskeli. Mpaka mtu aondoke. Sijui wamevaa miwani ya mbao wakadhani ni tinted!!:boxing::boxing:
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom