Tabia za utawala ulioshindwa

BRAND

JF-Expert Member
Jun 2, 2013
295
249
1:Sheria ni kwa maskini tu
2:rushwa ktk taasisi za umma
3:ufisadi
4:umaskini uliokithili kwa walio wengi
5:matajiri ndio wenye nguvu ya maamuzi
6:utekaji na uonevu
7:elimu mbovu
8:huduma duni za afya
9:viongozi hawawajibiki kwa wananchi
10:mkuu wa nchi kutokuwa na maamuzi ya mwisho
11:.......!!
 
Wananchi asilimia kubwa kutokujua kusoma wala kuandika
 
Semeni yoote ila kwake huo ni upepo tu unapita na mambo yatatulia tuliii. Wenyewe wanapanga dili jingine

gadafi alikuwa mfalme miaka ming lakin ukwel uliposimama alikipata kile alichofanyia wanyonge maskin aliye juu milele ni mungu tu zingatia haya we mtanganyika
 
Kukopa hela za chama na kukataa kulipa pamoja na kuiba kuiba hela za kanisa bila kumuogopa mungu.
Duh basi CCM mmepitiliza yaani mnakopa hadi pesa za Chama, na kuiba pesa za Kanisa? Kweli nyie mmelaaniwa sasa. heri umesema mwenyewe aiseee
 
20.KURUHUSU WATU WA KUJA i.e MATAIFA YA NJE KUJITWALIA RASILIMALI ZA TAIFA NA KUFANYA MAAMUZI YA NCHI WATAKAVYO.
 
Kuandaa mrithi wa uraisi ili akulinde.
Na kuwapinga wagombea wengine wowote unaoujua watachukua hatua dhidi ya maovu.
 
Back
Top Bottom