Tabia za mwanaume mwembamba

frenderPH,

♧ Huwa si wachoyo wa elimu ya mafanikio kwa watu wanaowazuguka..

♧ Siyo watu wa show off.

♧ Low profile type.

♧ Hawapendi kuwa karibu na watu ambao hawako straight kwenye maswala yao.

♧ Wanapenda muonekano na kutoka na body structure yao huwa wanapendeza wakitupiamo viwalo

♧ Huwa ni wakimya kiasi hupelekea watu wengine kuwaona kama ni watu flan wanaojisikia sana..

♧ Siyo watu wenye marafiki wengi ila mkishakuwa marafiki bas huo urafiki hudumu kwa muda mrefu sana..

Sent using Samsung S6 Edge
 
Mkuu umekamilisha aliyesahau mleta mada
 
Agree with you, hapo umeni copy kabisa. Zile za juu ni nyongeza tu ya hiki ulichokiandika hapa.🙏🙏
 
Umemaliza kila kitu brother

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…