Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,062
- 3,280
Vipi wewe ulipita chuo? Ulikuwa na tabia hizo hizo na maneno ya kipuuzi kama ulivyosema?!!Aisee hawa watoto wa chuo tabia zao zinafafana nchi nzima ....
Tabia zao ni common kwa wote.
1. Wanatembea wakiwa wamevaa earphone mda wote.
2. Wakizingumza lazima wachanganye kiingereza na kiswahili, hadi wanaume kuna maneno ya kipuuzi utakuta wanayatumia kama , "oooh my Gash".
3.Kuzungumza kwa kupiga kelele, yaani ukiwa nao shehemu za Public utachoka , usiombe iwe kwenye daladala, na story wanazopiga ni za realationship na matukio Birthday.
4. Ole wako usijikute umepanga nao nyumba moja, nyumba ilichukuliwa na mtu mmoja ila utashangaa kijiji kinahamia hapo!..Ukumbi wa birthday hapo hapo !Disco na kila kitu hapo hapo .
5. Wakitembea na jinsiabili tofauti utachoka, mara washikane viuno , mikono , wapigane mabusu yanii ni karahaa tupu.
Mambo ni mengi kwa hawa watoto..sijui wenzangu unapata karaha hiyo hiyo.
Kumbe ndio walivyoo...Heri yangu niliishia la 7B
Hahahahahahahahahhhhhha la 7B wanakuwaga hawana akili km pogba la 7A magenius km TUNDUUUUU
Wakikua wanaacha mkuu!! Wakimaliza chuo wanaacha mambo hayo!Kuna ukweli fulani hapa. Wengi wanapenda show off na kuiga iga maisha ya tamthilia
acha kuwafananisha wanachuo na vitu vya ajabu ajabu......Aisee hawa watoto wa chuo tabia zao zinafafana nchi nzima ....
Tabia zao ni common kwa wote.
1. Wanatembea wakiwa wamevaa earphone mda wote.
2. Wakizingumza lazima wachanganye kiingereza na kiswahili, hadi wanaume kuna maneno ya kipuuzi utakuta wanayatumia kama , "oooh my Gash".
3.Kuzungumza kwa kupiga kelele, yaani ukiwa nao shehemu za Public utachoka , usiombe iwe kwenye daladala, na story wanazopiga ni za realationship na matukio Birthday.
4. Ole wako usijikute umepanga nao nyumba moja, nyumba ilichukuliwa na mtu mmoja ila utashangaa kijiji kinahamia hapo!..Ukumbi wa birthday hapo hapo !Disco na kila kitu hapo hapo .
5. Wakitembea na jinsia mbili tofauti utachoka, mara washikane viuno , mikono , wapigane mabusu yanii ni karahaa tupu.
Mambo ni mengi kwa hawa watoto..sijui wenzangu unapata karaha hiyo hiyo.
Hahahaaa mku kama ulikwa na mimi yaani natoka kazini na mwenzangu tukapita chuo flani mara tukaona wanachuo wanatembea wamekumbatiana njian. Nikamwambia jamaa umeyaona hayo ndo mapenzi ya chuo. Afu kila mwanachuo anasemaga kwa mboga saba afu kwa wasichana wengi wao utaskia anasema anatokea Dar kumbe kwao huko mikoani vijijiiniAisee hawa watoto wa chuo tabia zao zinafafana nchi nzima ....