Cheka tena....hahaahaaanimecheka sana aisee
Cheka tena....hahaahaaanimecheka sana aisee
Mungu anakuona ujue mwenzio hatalala kabisaCheka tena....hahaahaaa
Haya mkuu nmekuelewaMungu anakuona ujue mwenzio hatalala kabisa
Hakikisha humpotezei hata kidogo mkuu....Hahaha ngoja nifurahi mkuu maana sasa nimepata mtu mwenye tatizo kama langu. Sasa mkuu tufanyeje?
Yule ni mchepuko tu mkuu....sema napenda kuwa nae karibu....Yupi sasa yule uliyeamuanzishia thread au
KumbeeYule ni mchepuko tu mkuu....sema napenda kuwa nae karibu....
Huyu anajielewa sana ndio maana nimeruhusu kwa moyo wote anibebe pacha wangu mkuu....
Yes Mkuu nitakualika kwa my wedding si mbali sana....Kumbee
Sawa mkuu tuombeane uzimaYes Mkuu nitakualika kwa my wedding si mbali sana....
Hongera sana, umekuwa kidume sasa. Jitahidi ukajitambulishe kwao inawezekana anawaza aibu ya kuzalia nyumbani. pengine anaona kama umerelax tu huna mpango wa kumhalalisha.Shukrani. Majibu yenu yananifungua sana akilj, maana ni mara ya kwanza kumpa mwanamke mimba
Aikambee,
Mkuu, acha mchezo na masihara na mwanamke akishika ujauzito,
Yaani, mwanamke kuwa na kiumbe tumboni/ uterus siyo jambo la mzaha.
Kuanzia sekunde yoyote huko kwenye uterus kikiingia tu kiini tayari anaanza kuonesha mabadiliko mengi sana.
Jambo la msingi, msikilize, msaidie kama unaona huwezi au umetingwa na kazi sana basi, hakikisha yupo na ndugu au jamaa zako wa familia aidha yake au yako ili wamsaidie pindi tu anapojisikia hali yoyote inayohitaji msaada.
Lakini, wakati huo wa miezi 9, acha Mama aitwe Mama (na wanawake wote)
Hongera sana, umekuwa kidume sasa. Jitahidi ukajitambulishe kwao inawezekana anawaza aibu ya kuzalia nyumbani. pengine anaona kama umerelax tu huna mpango wa kumhalalisha.
Inategemea mkuu, kwanza nina wasiwasi huenda hana mimba, isipokuwa mlipokubaliana mpate mtoto alitaka kukupima aone akichange utafanya nini, na aliposema amejipima ana mimba muende kwao pia nahisi ni mtego aone una utayari kiasi gani, nina experience Zaidi ya mara 3 na situation za namna hii. Cha msingi stay real utafaulu huu mtihani wake na usikasirike siku akikwambia hana mimba.
Kwani hiyo mimba ina muda gani? Mood swings haiwezi tokea mimba ikiwa chini ya mwezi.
Nionavyo mie huyo alikuwa ameshafikia angle fulani, hivyo alikuwa anatengeneza mazingira ya kuchoropoka kupitia hiyo angle, bahati mbaya akawa amenasa, hivyo akawa hana ujanja ikabidi awe mpole tu. Hebu niambie je bado anakujibu kwa maudhi kama hapo awali? Na je hiyo mimba sasa ina umri gani? Na je wakati anakujibu kimaudhi mimba hiyo ulikuwa imefikia umri gani? Je ni ndani ya hiyo wiki moja na sehemu tu? Nipe mrejesho kabla sijaendelea.