Tabia za mjamzito za hasira na kususa huanza muda gani?

Hahaha ngoja nifurahi mkuu maana sasa nimepata mtu mwenye tatizo kama langu. Sasa mkuu tufanyeje?
Hakikisha humpotezei hata kidogo mkuu....

Pesa ya matumizi toa kama kawaida....

Navyojua mimba ikifika kwenye termina stage upendo hurudi kama kawaida mkuu....

So tuwe wavumilivu kama kawaida....
 
Haya sawa mkuu.
 
Sasa wewe umehangaika na mpaka kusimamia vidole ikakatika mumo mumo na anajuwa maisha yake tayari yamebadilika, toka usichana mpaka uanamke, wategemea nini?! Kuwa mwanaume..
 
Aikambee,
Mkuu, acha mchezo na masihara na mwanamke akishika ujauzito,

Yaani, mwanamke kuwa na kiumbe tumboni/ uterus siyo jambo la mzaha.

Kuanzia sekunde yoyote huko kwenye uterus kikiingia tu kiini tayari anaanza kuonesha mabadiliko mengi sana.

Jambo la msingi, msikilize, msaidie kama unaona huwezi au umetingwa na kazi sana basi, hakikisha yupo na ndugu au jamaa zako wa familia aidha yake au yako ili wamsaidie pindi tu anapojisikia hali yoyote inayohitaji msaada.

Lakini, wakati huo wa miezi 9, acha Mama aitwe Mama (na wanawake wote)
 
Shukrani. Majibu yenu yananifungua sana akilj, maana ni mara ya kwanza kumpa mwanamke mimba
Hongera sana, umekuwa kidume sasa. Jitahidi ukajitambulishe kwao inawezekana anawaza aibu ya kuzalia nyumbani. pengine anaona kama umerelax tu huna mpango wa kumhalalisha.
 
Aikambee,
Mkuu, acha mchezo na masihara na mwanamke akishika ujauzito,

Yaani, mwanamke kuwa na kiumbe tumboni/ uterus siyo jambo la mzaha.

Kuanzia sekunde yoyote huko kwenye uterus kikiingia tu kiini tayari anaanza kuonesha mabadiliko mengi sana.

Jambo la msingi, msikilize, msaidie kama unaona huwezi au umetingwa na kazi sana basi, hakikisha yupo na ndugu au jamaa zako wa familia aidha yake au yako ili wamsaidie pindi tu anapojisikia hali yoyote inayohitaji msaada.

Lakini, wakati huo wa miezi 9, acha Mama aitwe Mama (na wanawake wote)

Asante sana mkuu nitampa sapoti kikamilifu. Asante kwa ushauri wa kina!
 
Hongera sana, umekuwa kidume sasa. Jitahidi ukajitambulishe kwao inawezekana anawaza aibu ya kuzalia nyumbani. pengine anaona kama umerelax tu huna mpango wa kumhalalisha.

Asante sana kuhusu kujitambulisha wala sina shaka wala uoga na kila mara huwa ninamuhakikishia hilo. Asante sana!
 
Inategemea mkuu, kwanza nina wasiwasi huenda hana mimba, isipokuwa mlipokubaliana mpate mtoto alitaka kukupima aone akichange utafanya nini, na aliposema amejipima ana mimba muende kwao pia nahisi ni mtego aone una utayari kiasi gani, nina experience Zaidi ya mara 3 na situation za namna hii. Cha msingi stay real utafaulu huu mtihani wake na usikasirike siku akikwambia hana mimba.
 
Kwani hiyo mimba ina muda gani? Mood swings haiwezi tokea mimba ikiwa chini ya mwezi.
Nionavyo mie huyo alikuwa ameshafikia angle fulani, hivyo alikuwa anatengeneza mazingira ya kuchoropoka kupitia hiyo angle, bahati mbaya akawa amenasa, hivyo akawa hana ujanja ikabidi awe mpole tu. Hebu niambie je bado anakujibu kwa maudhi kama hapo awali? Na je hiyo mimba sasa ina umri gani? Na je wakati anakujibu kimaudhi mimba hiyo ulikuwa imefikia umri gani? Je ni ndani ya hiyo wiki moja na sehemu tu? Nipe mrejesho kabla sijaendelea.
 
Poa mkuu. shukrani!
 
Alianza ndani ya week, na sasa naona amekuwa mpole kidogo, maana kabla ya mimba ailinisisitiza kujitambulisha, baadaye akaniambia ananichunguza, ila baada ya kugundua kuwa ana mimba anasisitiza kujitambulisha
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom