kweli kabisa wazuri hakuna!vimebaki vimeo vitupu..either ubanane nao au uachie ngazi for good
kweli kabisa wazuri hakuna!vimebaki vimeo vitupu..either ubanane nao au uachie ngazi for good
Kha, Watu nane wote wamekupitia, ukiongeza na wale wa chapu chapu si wanafika hata mia moja??.EX no1 alikuwa bahiri,sijawahi ukiona hata sh kumi yake
EX no2 alinidanganya kumbe Ana mchumba,niligundua baada ya mwaka
EX no3 nae aliniacha baada ya tendo akakata mawasiliano,after 1yr akaoa
EX no4 alikuwa mume wa mtu,baadae yalinishinda nikaachia ngazi
EX no5 alikuwa classmate,alikuwa na wivu sana tukashindwana
Ex no6 ,7 wanaume suruali nikawapiga vibuti
Ex no8,usiku anakoroma utazani generator,yalinishinda
SASA nimeamua kubaki single, all good men are taken
Usi-generalize, wazuri wapo tena wengi tu inategemea unawataftajekweli kabisa wazuri hakuna!vimebaki vimeo vitupu..either ubanane nao au uachie ngazi for good
kweli kabisa wazuri hakuna!vimebaki vimeo vitupu..either ubanane nao au uachie ngazi for good