Tabia za mademu wa mitandaoni

Tabia za mademu wa mitandaoni

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,902
Reaction score
9,323
MADEMU WA MITANDAONI.

1. Ukimwambia mambo anaitikia kwa herufi *p* na *k*

2. Ukimuomba picha anakwambia *"wew mbona hujantumia"* 3. Ukiuliza maswali matatu kwa pamoja anajibu moja tu mengine ni uvivu kutype

4. Ukimwambia tufahamiane anasema anza wewe na ukimaliza ili yeye aanze bas anakuwa offline

5. Kawaida yao huwa hawaanzi kukutafuta hewani hata kukupa *HI* tu usipomtafuta ndo imetoka hiyo. 6. Wamejijengea mawazo kuwa kila Man kwenye social sites anatafuta mpenzi tu.(hawawazii urafiki wa dhati) 7. Wengi hawapendi maswali na hukaa kimya ila ukiweka DP ya demu mwingine utaona txt *msalimie mkeo* 8. Wanapenda kujifanya wapo busy sana hawajibu txt ila ukimuadd kwenye magrup ya mapenzi wanashinda wanapost tu comments

9. Mnajuana leo kesho anakuomba elfu kumi ana shida nayo sana (maboya yanakamatwa)

10. Ukifanikiwa kupendwa na hawa madem atakuja kwako kwa nauli yake ila kama ndo umemtokea akakubali basi andaa nauli ya kuja kwako

11. Mwisho wanaamini hakuna mwanaume wa ndoa anayepatikana mtandaoni (wote ni wachakachuaji tu) ..... huwa najiuliza hivi kuna dunia inaitwa *mtandaoni* ??! kwamba watu waliopo humo sio hawa wa hii dunia!
......

Je unataka kuijua mitandao spesho kwa kupata wachumba??
(Mie sijui )
************by Sandra Bernard WA instagram

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Member since 2010.

Mzee baba unamiaka 9 JF.

Nikichukulia kua ulijua JF unamika 23 kwaiyo mpaka sasa unamiaka 32-35.

Basi tu kwakua Simu ni yako na bando nilako.

'A bad peace is better than a good quarrel '
Mkuu JF ni kongwe sio kama uifikiriavyo...

Kuna watu walikuwa na busara sana kipindi cha nyuma saivi sijui wako wapi

Ilikuwa ukiposti jambo hapa linapokelewa na kama ndo unahitaji ushauri utapewa ushauri wa kina sio kama saivi JF imejaa utani mwingi

Ilikuwa ukiingiaa jukwaa la siasa hadi mwenyewe utapenda hata kama haupendi siasa watu wanashuka madude hatari faya

Jukwaa la intelligentsia ndo usiseme

Asaivi JF naingia kuangalia updates tu za habari mpya lakini info konki kama zamani hamna tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaona tatizo la huu uzi kulingana na jukwaa ulipo.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Mkuu JF ni kongwe sio kama uifikiriavyo...

Kuna watu walikuwa na busara sana kipindi cha nyuma saivi sijui wako wapi

Ilikuwa ukiposti jambo hapa linapokelewa na kama ndo unahitaji ushauri utapewa ushauri wa kina sio kama saivi JF imejaa utani mwingi

Ilikuwa ukiingiaa jukwaa la siasa hadi mwenyewe utapenda hata kama haupendi siasa watu wanashuka madude hatari faya

Jukwaa la intelligentsia ndo usiseme

Asaivi JF naingia kuangalia updates tu za habari mpya lakini info konki kama zamani hamna tena

Sent using Jamii Forums mobile app

not every time watu watakuwa serious, kuchangamshasio mbaya
 
Mkuu JF ni kongwe sio kama uifikiriavyo...

Kuna watu walikuwa na busara sana kipindi cha nyuma saivi sijui wako wapi

Ilikuwa ukiposti jambo hapa linapokelewa na kama ndo unahitaji ushauri utapewa ushauri wa kina sio kama saivi JF imejaa utani mwingi

Ilikuwa ukiingiaa jukwaa la siasa hadi mwenyewe utapenda hata kama haupendi siasa watu wanashuka madude hatari faya

Jukwaa la intelligentsia ndo usiseme

Asaivi JF naingia kuangalia updates tu za habari mpya lakini info konki kama zamani hamna tena

Sent using Jamii Forums mobile app
Tulioanzia jambo forum tunaju umuhimu wake tatizo sasa hv vijana weng humu 18-30age wanasumbua wazee wao kwa bando LA chuo
 
Member since 2010.
Mzee baba unamiaka 9 JF.
Nikichukulia kua ulijua JF unamika 23 kwaiyo mpaka sasa unamiaka 32-35.
Basi tu kwakua Simu ni yako na bando nilako.
'A bad peace is better than a good quarrel '
hahaaha kwahyo unamaansha mzee anapost utumbo, ingekua anacheza soka kwa umr huo tunamuita mzee w
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom