Elle Kisinga
Member
- Jan 13, 2013
- 64
- 6
UK very right da ndauka...tulitegemea mitandao itasaidia sana kupashana habari mbalimbali lakini mmmmmh!
Kukalia kimya wakati mambo haya yanafanyika kwenye jamii ndio laana kuu. Ni lazima kuliongelea hili tena kwa uwazi kabisa ili watu wajue hasara zake badala ya kuficha huku tukiacha watu wanajiingiza bila kujua vizuri ni kitu gani wanakifuata huko.
Duuuuh Ndauka tena? anyways asante kwa kubaliUK very right da ndauka...tulitegemea mitandao itasaidia sana kupashana habari mbalimbali lakini mmmmmh!
Kanaelekea elekea.
Hao ni airtel tena wanazile vocha zao za mia tano ukiingiza namba ina ku connect na bundle kabisa.
Na wanaume tunaotumia tigo?
Huhuhuuuu. Hii hatare.mi natumia mitandao yote sasaa. Lol
Mtakuwa na balaa mengi si bure... Embu njoo chemba tufahamiane vizuri
Nouuuuu.sina mabalaa mengi kijana.niko vyema kabisa.
Kheee.... Unatisha
basi unatabia zote kutegemeana na mtu unaedate nae lolMie natumia yote, sasa cjui nipo kundi gani!
basi unatabia zote kutegemeana na mtu unaedate nae lol
mhhh!! hujawahi kudate? una miaka 12 ww?Sijawahi kudate basi nikidate nitaangalia nina tabia za mtandao gani.
mhhh!! hujawahi kudate? una miaka 12 ww?
haahha!!! maskini weee...unakufa na utamu wakoNakaribia 40