kwich kwich
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 366
- 106
Ukweli mtupu ndugu umeeleza....!!
Nimependa hapo kwenye VODA, ila pana utata sana wengi huwa wanakuwa na list ndefu sana ya kuumizwa.
Ndefu,ntarejea tena wacha nimlishe mtoto...
Labda hiyo listi ndefu ya kuumizwa ndio inaathiri tabia zao, mahusiano ya nyuma hatukuyaangalia ila umenipa mwanga huenda nayo ni factor.
Je utafiti wako umezingatia ukweli huu:
Zamani mtandao pekee ilikuwa Tigo ikiitwa Mobitel wakati huo. Hakukuwa na uchaguzi. Hapo ina maana watu wote wangeingia kwenye sifa za Tigo.
Kuna watu wameamua kuendalea na mtandao huo huo hadi leo.
Nimeongea na mama yako mzazi kaniambia line zake zote zipo active. Nenda PM nimekuachia ujumbe
Je utafiti wako umezingatia ukweli huu:
Zamani mtandao pekee ilikuwa Tigo ikiitwa Mobitel wakati huo. Hakukuwa na uchaguzi. Hapo ina maana watu wote wangeingia kwenye sifa za Tigo.
Kuna watu wameamua kuendalea na mtandao huo huo hadi leo.
Huo uamuzi wa kuendelea na mtandao ndio kujinasibisha na huo mtandao sasa.