Tabia za mademu kutokana na mitandao wanayotumia

Tabia za mademu kutokana na mitandao wanayotumia

Mkuu yeye mwenyewe alieanzisha mada anajua kwamba uamuzi wa kutumia mtandao fulani una factors nyingi sana,hivyo hakuna uhusiano wowote kati ya tabia ya mtu na mtandao anaoutumia.

Labda aliangalia phone book yake akarelate na tabia za wahusika then akafanya conclusions zake na kuziita utafiti,and that's harst generalization.

Bongo watu huita utafiti hata hisia zao tu!
 
Hivi kwanini hizi threads lazima ziongelee habari za TIGO,,,????

Wakuu,Kufanya mapenzi kinyume na maumbile ni laana na hata kuongelea au kuandika habari za ANAL SEX ni laana vile vile.

Unapoanzisha mijadala ya ANAL SEX ni kama vile
una-advocate hiyo ishu.
Kukalia kimya wakati mambo haya yanafanyika kwenye jamii ndio laana kuu. Ni lazima kuliongelea hili tena kwa uwazi kabisa ili watu wajue hasara zake badala ya kuficha huku tukiacha watu wanajiingiza bila kujua vizuri ni kitu gani wanakifuata huko.
 
Kutokana na maelezo Haya wanawake Wa humu unaweza kujua wanatumia mtandao gani
 
Je utafiti wako umezingatia ukweli huu:

Zamani mtandao pekee ilikuwa Tigo ikiitwa Mobitel wakati huo. Hakukuwa na uchaguzi. Hapo ina maana watu wote wangeingia kwenye sifa za Tigo.

Kuna watu wameamua kuendalea na mtandao huo huo hadi leo.

Daah! Tafiti zengine? Yataka Moyo kwa kweli

Mkuu yeye mwenyewe alieanzisha mada anajua kwamba uamuzi wa kutumia mtandao fulani una factors nyingi sana,hivyo hakuna uhusiano wowote kati ya tabia ya mtu na mtandao anaoutumia.

Labda aliangalia phone book yake akarelate na tabia za wahusika then akafanya conclusions zake na kuziita utafiti,and that's harst generalization.

Bongo watu huita utafiti hata hisia zao tu!

Aina ya mtandao na tabia ya mtu,wapi na wapi!
Hili swali la mwisho la Mkuu mgulwa ndio nilitaka kulijibu ila ukiangalia hayo mengine yote ni kama yanauliza swali hilo hilo moja. Mtanisamehe kuyaunganisha kama sijawatendea haki. Kuna nadharia nyingi zinazoangalia tabia na machaguo, nadharia hizi ni za kisayansi, kiuchuumi, na kihesabu. Hata uki google saa hivi Choices Vs Behaviour utapata nakala zaidi ya laki tatu zinazoelezea nadharia hizi. Utafiti wetu kifupi umeongozwa na nadharia iliyoasisiwa na mwanafilosofia mkongwe Plato na kuendelezwa vizuri na msomi kutoka chuo kikuu cha Calfornia huko Berkeley anaitwa Daniel Mc Faden. Nadharia hii kwa maneno rahisi na majumuisho yangu mwenyewe inasisitiza kuwa tabia za watu na machaguo yao vinahusiana. Unaweza kusoma andiko lake mwenyewe hapa http://www.google.co.tz/url?sa=t&rc...CmrhbK89EBD64ieWhWY2pIg&bvm=bv.92291466,d.bGg
 
Last edited by a moderator:
Mie natumia yote, sasa cjui nipo kundi gani!
 
Mie natumia yote, sasa cjui nipo kundi gani!
atoto niambie aina za simu zenye hizo line, mfano tigo ipo kwenye Samsung galaxy s 6, voda ipo kwenye Huawei ascend Y7 na airtel ipo kwenye tecno au tochi.
 
Last edited by a moderator:
hivi ni mtandao gani unatumiwa zaidi na ma-barmaid
 
atoto niambie aina za simu zenye hizo line, mfano tigo ipo kwenye Samsung galaxy s 6, voda ipo kwenye Huawei ascend Y7 na airtel ipo kwenye tecno au tochi.

Tigo,voda na airtel zipo kwenye kitecno kimoja, ttcl kwenye kihuwawei na zantel kwenye ki-itel
 
Last edited by a moderator:
Tigo,voda na airtel zipo kwenye kitecno kimoja, ttcl kwenye kihuwawei na zantel kwenye ki-itel
Wenye simu zenye line nyingi huwa wanatabia za kujifanya ni watu flani kumbe sio. Kwa mfano anaweza kuwa ID yenye picha ya mwanamke wakati yeye ni dume.
 
hivi ni mtandao gani unatumiwa zaidi na ma-barmaid
Hao ni airtel tena wanazile vocha zao za mia tano ukiingiza namba ina ku connect na bundle kabisa.
 
Wenye simu zenye line nyingi huwa wanatabia za kujifanya ni watu flani kumbe sio. Kwa mfano anaweza kuwa ID yenye picha ya mwanamke wakati yeye ni dume.

Kumbeeee!!
 
Back
Top Bottom