Kule Kwetu
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 3,157
- 1,907
- Thread starter
-
- #121
Shukran sana mkuu kwa ufafanuzi yakinifu.Ok,iko hv.huku tupo wasukuma mikoa mitano yote ni ya kwetu,na nitajaribu kwa kifupi kuchambua kulingana na maeneo yetu.
1.ikumbukwe tunaishi Tabora,Shinyanga,Simiyu,Mwanza,Geita na pembezoni mwote mwa ziwa victoria
2.Wasukuma wa Tabora ni wakarimu japo wana kanamna ka kupenda kidogo ushirikina lakini ni wavumilivu ktk mapenzi,wao wana destuli ya uvivu kidogo wa kuchapa kazi lakini si wavivu kiasi cha kuwasema vibaya,wapole na hawana mawaa na mtu awaye yote
3.Wasukuma wa Shinyanga,ni wachapa kazi na wakarimu,na kwa namna fulani hv ni wakorofi kidogo na hawapendi kuonewa.
4.Wasukuma wa Simiyu,hawa ni wakorofi na ni wakarimu pia,ni wachapa kazi kweli kweli hawana uvivu,wanatafuta mali hata kama wewe mwanaume umelala ndani au umetelekeza familia usitegemee watoto watakufa na njaa.
5.Wasukuma wa Mwanza ni the same na Geita,hawa hata wewe uwe wa makabila mengine nenda kaoe,ni wakarimu kupitiliza na wapole sana,hawa mume anaweza kuoa mke wa pili lakini yeye akaishia kulia machozi kwa siku moja then anatulia na kusamehe na mambo yanaendelea,na hawa ndiyo wenye shepu nzuri na ni Blackbeauty kweli kweli tofauti na wa Simiyu na Shy ambao wao ni weupe,wanaitwa wanyantuzu.hakuna desturi ya ukeketaji,na wasukuma wote siyo wachoyo hasa wa chakula.wao humkirimu mgeni yeyote ajaye nyumbani mwao au maeneo yao.
6.TAHADHARI.kama utakuja wewe mtu wa makabila mengine ukaoa mke wa SIMIYU mnyantuzu,elewa una mwanajeshi iwapo utamletea za kuleta,hao ndo wana sifa hata ya kukutoa roho ukiwa umepata pesa na ukajidai kumchanganyia habari zako.hii ni kwa ufupi
N.B ni wakarimu na wachapa kazi all Sukuma.ASANTE
Alikuaje?umenikumbusha Doreen wangu
mtamuAlikuaje?
Bado upo nae?mtamu
hapanaBado upo nae?
[emoji22]hapana
Yani wachaga ndo wabaya chah sema hushare interests. Wasukuma wapole kwa lipi mkuu nimekaa nao roho mbaya yao labda wa Mwanza kidogo huo upole labda zama za kale wangekuwa wapole na wakarimu wasingeongoza kuua huko kanda ya ziwa kwa mauaji. In short mzuri labda aliyeelimika na ushamba hawauishiFanya uchunguzi wa kina mkuu!
Miaka ya sasa ndo kidogo kumekuwa na mabadiliko hasa usomi na umjini mwingi ndo mtu anaamua kuvunja miko.
Asili ya msukuma sio ubahili au umimi!
Sasa wachagga wana hizo character so inakuwa ngumu sana ku mingle mkaendana!
Yani wachaga ndo wabaya chah sema hushare interests. Wasukuma wapole kwa lipi mkuu nimekaa nao roho mbaya yao labda wa Mwanza kidogo huo upole labda zama za kale wangekuwa wapole na wakarimu wasingeongoza kuua huko kanda ya ziwa kwa mauaji. In short mzuri labda aliyeelimika na ushamba hawauishi
Habarini Wadau,
Napenda kutoa pongezi kwa Wanawake wengi wa kisukuma kwa kuwa na tabia njema kulinganisha na makabila mengi hapa nchini,kwa mfano:-
1) HESHIMA: Hawa mabinti wa kisukuma na hata wamama wa huko wengi wao wana adabu na heshima sana. Ukimwoa msukuma na kumpa tu hela ya msosi wa kutosha atakuheshimu sana na kukujali kama Mume. Heshima ipo ndani ya damu zao.
2) WENGI SIO WAKATILI:
Ukiwalinganisha wanawake wa kisukuma na wa makabila mengine,hawa wa kisukuma ni wapole zaidi na wenye utu.
Na kwa jinsi wasukuma walivyo wengi Tanzania hii....basi kama wanawake wao wangekuwa na roho mbaya za kikatili tungesikia sana wakisemwa vibaya. Imagine ni kabila lenye watu wengi kuliko yote Tanzania ila husikii wakiogopwa na wanaume na kujulikana kwa ukatili.
3) WANA NGOZI NA MAUMBO MAZURI:
Sio siri wanawake wa kisukuma 98% wana shapes za ukweli, hasa t*ako nzito nzito za maana, bila kusahau ngozi zao nyeusi za kuteleza. Sijui ni zile samaki za ziwa victoria wanazokula?
Sio rahisi ukute mdada wa kisukuma ana flat screen.
Hongereni mabinti/Wanawake wa kisukuma.
Ukerewe ni uganda?ukerewe sio ardhi ya wasukuma
Ukerewe ni uganda?
Mkuu pole sana nahisi ulikutana na wanyantunzu hawa kiasi flani wana nyodo nyodo!Yani wachaga ndo wabaya chah sema hushare interests. Wasukuma wapole kwa lipi mkuu nimekaa nao roho mbaya yao labda wa Mwanza kidogo huo upole labda zama za kale wangekuwa wapole na wakarimu wasingeongoza kuua huko kanda ya ziwa kwa mauaji. In short mzuri labda aliyeelimika na ushamba hawauishi
Yani wachaga ndo wabaya chah sema hushare interests. Wasukuma wapole kwa lipi mkuu nimekaa nao roho mbaya yao labda wa Mwanza kidogo huo upole labda zama za kale wangekuwa wapole na wakarimu wasingeongoza kuua huko kanda ya ziwa kwa mauaji. In short mzuri labda aliyeelimika na ushamba hawauishi
hata wasukuma wa katavi-MPANDA ni wakarimu mno na ni wachapaki balaa, tunswashuhudia kwenye upandaji mpunga nomaa Sana. Sasa huku katavi msukuma kumchukua ni gharama, wanahitaji mpaka ng'ombe kumi na..., ila bure unapata pia but inategemea na familia
Hii hapaPICHA NI MUHIMU KULIKO HIIESSAY.
Hao wanyatunzu wenye nyodo ni wanawake tu au na wanaume?Mkuu pole sana nahisi ulikutana na wanyantunzu hawa kiasi flani wana nyodo nyodo!
Katika tabaka zote za wasukuma, wa Mwanza hasa wilaya ya Sengerema na huko Geita hawana makuu kabisa!
Halafu kuwa mshamba sidhani kama ina athari yoyote katika kuishi na mtu otherwise ndo nyodo zenyewe tusemazo kabila nyingine mmeendekeza!
Kuhusu kuua vikongwe, hilo siwezi kuliongelea make limekaa kiimani zaidi.
Kama ungekulia kule wala usingepata kigugumizi cha kukiri kuwa kweli jamii ya watu hawa ipo tofauti sana na wengine!
[emoji57] [emoji39] [emoji39]