Tabia za kishamba za mabasi ya mikoani

Huyo mtoto akikua atakuwa baharia, yaani anakulisha nawe kishingo upande unapokea, dah!
 
Unavaa earphones, unageuka zako pembeni tu, period!


Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Sasa huo mchanganyiko, imagine..lol! 😂😂


Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Aise mkuu ebu tusafiri tu tukae wote. Twende ata KIgali umbali mrefu kidogo hutojuta [emoji38][emoji38]
 
Mi nilikuwa na kinyaa utotoni, kinyaa kilifanya nisome PCM badala PCB licha ya kuwa nilikuwa nachechemea kwenye hisabati ikilinganiswa na Bios. Ila sasa kimepungua baada ya interaction na watu wenye makuzi tofauti tofauti.

Nilikuwa nacho utotoni hadi sasa,sidhani kama kuna jambo linaweza kunibadili
 
Tupo wengi, ila me sahivi kinaenda kinapungua. Nilikuwa nina hali mbaya ambayo hata me nilikuwa sipendezwi nayo kwa baadhi ya situations...

Vinyaa vinyaa hivi visivyo na msingi kuna siku nilizingua kinyama mpaka nikaona naelekea kubaya.

Ulifanyaje kikapungua?
Hata mie sikipendi lakini ndio vile niko hivyo....mfano nikianza kukiwazia chakula nilichokula maandalizi yake naweza kutapika kabisa

Hiyo siku ulifanyaje?😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…