Tabia za kishamba za mabasi ya mikoani

Naomba kuelimishwa, ni wapi ambako sio mkoani nami nihamie huko?
 
Vipi wale wanaopanda na kuku na makorombwezo mengi mengi wanatumezesha mate wengine
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kusafiri raha sana aswaaaa ukae na chibonge,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ngoshaaaaaa...... nakuona nakuona krbu tupate kidogo tushtue koo[emoji481][emoji481][emoji481][emoji481]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu mimi sio ngosha bwana mambo ya kupanda na ndoo ya maji huku si kuua viwanda vyetu vya ndani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tena namba 4 ndo wahovyo kabisa, unakutana na mtu anakulazimisha na wewe ucheke kama yeye anavyocheka, wengine huwa tuna mambo yetu hatuna mda wa kurazama movie ama nyimbo.
 
Umesahau wale wanaonunua mayai, wanayamenya halafu wanakula.

Ile shombo ya mayai ni noma sana.

Ikibidi, punguzeni tabia ya kula kula hovyo.
Ni kula kula hovyo au kununua vyenye harufu..!? Maana anayenunua mayai manne hawezi lingana na anayenunua kuku mzima
 
Ushamba nyumbani kwao si huko mikoani jamani sasa cha ajabu nini hapo?
 
Usiombe ukae na mdada mneneee aaf ana matako makubwaaa anakulakula hovyo akianza kuachia vile vishuzi vyao vya sailensi daaah utaomba poo
 
Hii ni tabia mbaya sana, baadhi ya abiria wanafanya hivyo, sio poa kabisa.
Hii Id yako napoiona basi akil zangu huwa zinarud kwenye Java Programming concepts & tools
 
Hii ni tabia mbaya sana, baadhi ya abiria wanafanya hivyo, sio poa kabisa.
Hii Id yako napoiona basi akil zangu huwa zinarud kwenye Java Programming concepts & tools
 
Kuna wale matumbo mpakile, yakipita mahindi ya kuchoma twende, ya kuchemsha twende, mayai twende, sijui biscuit mpaka inakua kero though pesa ni zao.

Let's meet at the top, cheers 🍻
Ngoja ajambe sasa ,lazima u mind hata kama pesa ni zao
 
Ahajahaja...uta mind vp zaid ya kufarahia na ushasema kila kitu alikua anakula anakupa na ww😂😂
 
Waha, Wasukuma, Wamasai na Wanyakyusa haya makabila ni wasumbufu sana safarini.

Waha ubishi ubishi, Wasukuma kula kula, Wamasai mafuta yao wanatopakaa na kuongea na simu kwa sauti, Wanawake wa kinyakyusa wanajamba sana akigeuka kajamba.
Dah umenichekesha sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…