Wewe ni mmamaNifichie aibu hii my[emoji85] [emoji85]
Wewe ni mmamaMwanaume kutumia imoj hizi [emoji85][emoji85][emoji7][emoji7][emoji14][emoji14][emoji14][emoji13][emoji12][emoji8][emoji57][emoji104] huu nao ni umama tu vile vile
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mmama
Wewe ni mmama
Wewe ni mmamaMwanaume kuangalia kipindi cha shilawadu mpaka saa sita usiku huo ni umama
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mmamaMwanaume kumtumia mwanaume mwenzako vimeseji vya usiku mwema kila siku huo nao ni umama...
Ua napandwa hasira yani dume zima unakuta linampamba dume mwenzie shabashMwanaume kuweka picha ya dume mwenzio unamsifia sifia ni umama wa hali ya juu [emoji19]
Mbona mimi sijaandika kombe la dunia mkuuMkuu hiyo #3 inaonyesha unaishi chini ya bahari maana huku kwetu Kombe la Dunia limemalizika michuano yake.
Labda niseme tu kama ndipo ulipofikia hapo wewe ni Chakula yao haijalishi wewe ni jinsia gani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa na heshima kwa bibi zetu
Huo ujanja wako wa kizamani mkuu.Mbona mimi sijaandika kombe la dunia mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app pkease Change my Name to mkuu wa kaya
Kukataa kitu wakati ulikifanya nao ni umama tuMbona mimi sijaandika kombe la dunia mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app pkease Change my Name to mkuu wa kaya
Wewe ni mmamaWewe ni mmamaWewe ni mmamaWewe ni mmamaWewe ni mmamaWewe ni mmamaWewe ni mmamaWewe ni mmamaWewe ni mmamaWewe ni mmama Wewe ni mmamaWewe ni mmamaWewe ni mmamaWewe ni mmama
Sent using Jamii Forums mobile app pkease Change my Name to mkuu wa kaya
1, mwanaume kuoga haraka haraka ili uwahi kuangalia igizo, huo ni UMAMA..[emoji23]
2, mwanaume kupiga picha umeng'ata Lips na Unapiga na Camera Beauty Plus huo ni UMAMA..[emoji23]
3, Mwanaume kuangalia tamthilia na Jamai Raja na Maigizo kwenye chanel ya sinema zetu wakati mechi za Ligi kuu England Premier League zinaendelea, pia nawe ni MMAMAA…[emoji23][emoji23]
4, Mwanaume kuandika 'Jomon' badala ya Jamani, kuandika 'Pw' badala ya Poa, kuandika 'Thatha' badala ya Sasa, kumwandikia mwanaume mwenzio 'Mambo my' Huu ni UDADA, tena UDADA wa CHUO..[emoji23]
.
5, Mwanaume kunywa soda au Juice na kubakisha, kununua chakula halafu unakibakisha, kubagua bagua chakula na kujamba hovyo hovyo baada ya kushiba, huo nao ni UMAMAA..[emoji23]
.
6, Mwanaume kumuuliza mwanaume mwenzio anapata faida gani kuangalia Mpira, pia nawe ni MMAMA…
.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Muda wa kulala bado saaanaa
Sent using Jamii Forums mobile app pkease Change my Name to mkuu wa kaya
Inakera sana eti looking good [emoji23][emoji24]smhUa napandwa hasira yani dume zima unakuta linampamba dume mwenzie shabash
Ni Dalili za UmamaMwanaume kupost my birthday is loading hizo ni dalili za pia