tena wengine watachokoza kabisa na pm ili wakusikie utasemaje... aisee :A S 114:Hii hata mimi naliunga mkono,huwezi kuwa wewe ni mwanaume na unajisikia fahari kuwa mwanaume halafu una ID ya kike!!!!Wapo humu na wanajijua,wataalam wameyazungumza sana kwenye tafiti zao mambo haya,hawa wana mambo ya kike bila kujijua na baadhi wanajijua!!!!
Hii ni laana ndugu yangu!Mwanaume aliumbwa na kupewa sifa ya kipekee na Mungu halafu wanafanya ujinga!tena wengine watachokoza kabisa na pm ili wakusikie utasemaje... aisee :A S 114:
tena wengine watachokoza kabisa na pm ili wakusikie utasemaje... aisee :A S 114:
na wanaoweka avatar ya wanyama ...dalili /wanaashiria nin?
Naskia hata ile ya wanaume wazima kuwa na ID za kike hapa JF ni very strong indication kwamba jamaa ana chembechembe nyingiza kike na zikipata trigger kama vile exposure to mashoga au mabasha nk yaweza kumgeuza kabisa mtu wa namna hiyo
Ni sawa na ile ya watoto wadogo wa kiume waliokua wanapenda sana kusuka, kupaka rangi ya kucha, kuvaa magauni na urembo.... nimesoma sehemu kwamba viashiria hivi hutumika sana huko majuu kuanza kuwatambua watu wenye potential ya hiyo orientation and to recruit them especially during high schools, na ndio maana wengi huanza na magelofriends kabla ya kubadili timu
Yawezekana kabisa watu hawajijui, lakini kindanindani wanavutiwa kuwa jinsia mbadala
nawakilisha and no harm intended
I like your skillzinategemea mnyama kaka pozi gani kama mnyama anateswa ni sadist kama mnyama anavutia ina mana anapenda wanyama na nature pia.
Na wanawake wenye majina ya kiume nao vipi?!!
Mkuu MTM, lakini hapa si tunasema tunafata hoja za members na siyo nani anayechangia, au..??
Kama ni muhimu kutambuana kwa jinsia, vipi characteristics nyingine za maumbile na asilia kama - umri, kabila, rangi, urefu, n.k... je nazo zitakuwa muhimu kuzitambua?!
Wakuu mmejikuta mnasarandia madume nini... lol π
ni kweli mkuu, ila with mmu and relatde issues, hii ya gender/sexual orientation becomes an issuena wanawake wenye majina ya kiume nao vipi?!!
Mkuu mtm, lakini hapa si tunasema tunafata hoja za members na siyo nani anayechangia, au..??
Kama ni muhimu kutambuana kwa jinsia, vipi characteristics nyingine za maumbile na asilia kama - umri, kabila, rangi, urefu, n.k... Je nazo zitakuwa muhimu kuzitambua?!
Wakuu mmejikuta mnasarandia madume nini... Lol π