FaizaFoxyTabia za Ajuza sometimes
1)kupoteza kumbukumbu
2)Kutofanya kazi kwa ufanisi
3) kutokufuatilia mambo ya msingi,kutegemea watu wengine.
4)kukosa nguvu na Madini kupungua
5)Kukosa Mvuto.
Ccm mna miaka mingi huenda umri unafanya mambo kuyumba ni HEKIMA MJITAFAKARI KUJI UPDATE ,KUJIDANLOAD UPYA.
Ajuza hapigi mutu chini yeye kazi yake kudeka kwa polis na ma dedIla bado anawapiga chini vigagula wa ukawa aka uchawa
USSR
nonsense 🐒Tabia za Ajuza sometimes
1)kupoteza kumbukumbu
2)Kutofanya kazi kwa ufanisi
3) kutokufuatilia mambo ya msingi,kutegemea watu wengine.
4)kukosa nguvu na Madini kupungua
5)Kukosa Mvuto.
Ccm mna miaka mingi huenda umri unafanya mambo kuyumba ni HEKIMA MJITAFAKARI KUJI UPDATE ,KUJIDANLOAD UPYA.
Imechokwa na nani?CCM imechokwa mpaka basi.
Umeona ehh... halafu akitengua uteuzi, anasingizia, Mshana Jr alinishauri vibaya ndotoniA
Ajuza hapigi mutu chini yeye kazi yake kudeka kwa polis na ma ded