KIJANA2013
JF-Expert Member
- Jan 21, 2013
- 466
- 201
MhhhhhhhJamani kuna baadhi ya wanaume wanakera sana naomba kabla ya kuumaliza siku ya leo naomba nitoe la moyoni,, utakuta mwanaume anaandika threads,sms au post za hivi ''unakataa kuolewa wakati ziwa limelala km ndala au anaandika umezalishwa mitoto mitatu alafu bado una ringa,,, hivi wewe mwanaume unae andika hivi una mama?? na km unae ulinyonya?? na km ulinyonya maziwa wa mama ako yakoje?? naomba kukuambia ukweli tu km wewe ni mwanaume mwenye tabia hii basi jua wewe ni taahira
Mungu awabariki.
Looh wayapenda macho yako
Waooooh [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Na comment yako pia nimeipitia Demiss
Ahaaaaa jamani mamboa gani hiyo simu utapata nyingine, shemela hajauza dawa zake tukapata hela ya simu?Yani ikifaaaa hii simu ndo kwaheri tena na JF usawa huu WA magu nianze kutoa Laki 3 bora niongeze kabati La vyombo
Sio kama tunawapangia msiwaseme vibaya nyie hao hao mnawamimba na kuwaacha nanai awaoe sasakwahiyo kama mama yako alikuwa single madha na wewe ndio uoe single madha,msitupangie maisha hapa tutaoa album madha
Hizo ni nadharia tulizojiwekea tu chief wala hazina mashiko sana kwa sasa.mimi hata sasa hivi nikipata mwanamke mwenye mtoto sioni shida nikiishi nae ili mradi tumekubaliana mambo ya msingi hayo mengine naona ni complication tu.Kwan hata huyo ambaye hajazaa na tayari katolewa bikra si ndo yale yale tu?1.Mwanamke aliyezaa ameshakuwa na familia tayari,
2.Mwanamke akishazaa kuna vitu vitu vingi anapoteza kimwili,
3.Mwanamke akishazaa anapoteza ule ubichi kuanzia papuchi mpaka mtindi unashuka grade,
4.Mwanamke aliyezaa anaingia kwenye familia mpya huku akiwa na majukumu ya kimalezi katika familia aliyoianzisha na mwanamme mwingine while wewe unaingia ukiwa fresher' huku ni kutokujitendea haki,
5.Mwanamke aliyezaa ni sawa na kuchukua gari used na lililochakaa while kuna kuna gari mpya za aina hyo hyo in the same show room,
6.Uncle mwanamke hawezi kukupenda wewe kuzidi anavyompenda mwanae' hilo ulitambue iwe mtoto ni wako or syo wako.
7.Mwanamke aliyekamilika atapata shida sana pale anapomsikia au anapomuona mwanamume aliyemzalisha mkewe, iwe ni kwenye msg za simu ya mkewe or hata kulisikia jina lake, Bcz yule ataoneka ni superior zaid yako bcz he was the first in everything.
Ok nimekuelewaKulelewa na single mother haimaanishi kwamba ndo uoe single mother kila mtu ana vipaumbele vyake katika maisha
Usicheke sana nataka alegee kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Afadhali wewe mwelewa si hao jamaniHizo ni nadharia tulizojiwekea tu chief wala hazina mashiko sana kwa sasa.mimi hata sasa hivi nikipata mwanamke mwenye mtoto sioni shida nikiishi nae ili mradi tumekubaliana mambo ya msingi hayo mengine naona ni complication tu.Kwan hata huyo ambaye hajazaa na tayari katolewa bikra si ndo yale yale tu?
Unakataa mwanamke aliyezaa tayari halafu wakati huo huo unaoa ili uwe na watoto. Unahitaji kuwa kichaa ili uelewe logi behind.Afadhali wewe mwelewa si hao jamani
Hao wengine ndio wale wanaojazana upumbavu kichwani mwao wakiamini kwamba wapo sahihi kumbe sioAfadhali wewe mwelewa si hao jamani
umetoa dukuduku kwa hisia zote pole japo ni sahihi kuwa yamelalaJamani kuna baadhi ya wanaume wanakera sana naomba kabla ya kuumaliza siku ya leo naomba nitoe la moyoni,, utakuta mwanaume anaandika threads,sms au post za hivi ''unakataa kuolewa wakati ziwa limelala km ndala au anaandika umezalishwa mitoto mitatu alafu bado una ringa,,, hivi wewe mwanaume unae andika hivi una mama?? na km unae ulinyonya?? na km ulinyonya maziwa wa mama ako yakoje?? naomba kukuambia ukweli tu km wewe ni mwanaume mwenye tabia hii basi jua wewe ni taahira
Mungu awabariki.
Kwani ukilelewa na baba mlevi na mume utamtaka mlevi? Kumbe vichwa navyo vina shida, siyo manyonyo tu πππ.Na wengi wao wasemao hawataki single mother wenyewe tu wamelelewa na masingle mother vile vile
Katoa ya mwilini weeeeee hadi nyonyo down, leo katoa ya moyoni.umetoa dukuduku kwa hisia zote pole japo ni sahihi kuwa yamelala
Kama ni nadharia nenda kaoe mwanamke niliyemzalisha kaka, Then uangalie nature ya mahusiano ambayo nitayajenga, unachosema ww ndio nadharia, ninachosema mm kinaonekana na kinaushahidi out there kwamba mwanamke aliyezalishwa hafai kuoa, Majuto ni mjukuu brother.Hizo ni nadharia tulizojiwekea tu chief wala hazina mashiko sana kwa sasa.mimi hata sasa hivi nikipata mwanamke mwenye mtoto sioni shida nikiishi nae ili mradi tumekubaliana mambo ya msingi hayo mengine naona ni complication tu.Kwan hata huyo ambaye hajazaa na tayari katolewa bikra si ndo yale yale tu?
Kitu cha msingi chief ni kama wawili mnapokuwa mnakubaliana mambo ya msingi mengine ni ziada tu. Mbona mimi mzee wangu alimuoa mama akiwa na mtoto mmoja na sisi wengine wawili tukazaliwa tumeishi kwa amani na upendo na maisha bado yanaendelea?Vitu vingine tunajipa sisi complication bila sababu za msingi,kwani mtoto wa kambo sio mtu kwamba hastahili kufurahia kama binadamu wengine?Haya mambo mengine ya kusema sijui siwezi chief familia nyingi ukiangalia background yake unakuta chimbuko la vitu kama hivi lipo,sema naona kama uzungu usio na tija unatupumbaza akili.Kama ni nadharia nenda kaoe mwanamke niliyemzalisha kaka, Then uangalie nature ya mahusiano ambayo nitayajenga, unachosema ww ndio nadharia, ninachosema mm kinaonekana na kinaushahidi out there kwamba mwanamke aliyezalishwa hafai kuoa, Majuto ni mjukuu brother.
Its painful brother kuona wenzio tunatoka na wake pamoja na watoto zetu huku wewe unatoka na mkeo ukiwa na watoto wa kambo.
When you miss some points of critical reasoning,isn't wonder that you might end up in displaying your previous hidden identity, who told you that insulting is a strong catalyst in defending & making clear a suggestive idea?.why can't you argue in a friendly manner with the proper use of intellect?.Hao wengine ndio wale wanaojazana upumbavu kichwani mwao wakiamini kwamba wapo sahihi kumbe sio