Tabia za ajabu kwa wanaume

Pambana na aliekufanya uwe single mother bila hivyo umpate ambae nae anajua kudeal na kitu ndala bila hivo kumpa papuchi mtu ambae hana mtoto wataendelea kusafisha rungu na kutembea
 
usiwe na jazba na wanaume......mwanaume ni mwanaume tuu...
 
Mwanaume kuoa single mother ni kujishushia hadhi, Mwanaume kuoa mwanamke ambaye amezalishwa ni kujishushia hadhi. Its the same principles.
Mwanaume aliyekamilika hawezi kuoa mwanamke ambaye amekwishazalishwa,
 
Mwanaume kuoa single mother ni kujishushia hadhi, Mwanaume kuoa mwanamke ambaye amezalishwa ni kujishushia hadhi. Its the same principles.
Mwanaume aliyekamilika hawezi kuoa mwanamke ambaye amekwishazalishwa,
Nakupinga mkuu kwani mwanamke aliyezaa ukimuoa ana shida gani?
 
uko sawa hata me cpenda kumwambia mtu hvo ni vibaya sana ,mimi ni m1 wa watu ambao sipendi mwanamke azalilike kama nikikuta m/ke na m/ume wanalia ase m/ke ntaanza kumsaidia hata nikimkuta m/ume anamdhalilisha , kumuonea m/ke huwa natetea sana(sijisifii) , , , , , ,lakini na nyie mjibehave kdgo , hv unajua mwanaume ukihemshim yeye atakuheshim zaid (ingawa co wote), , mwishona nyie badiliken [HASHTAG]#waongo[/HASHTAG] sana tena sana ,
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]tena siku ukimjua huyo mwanaume anayeandika hizo thread waweza kimbia amekaukiana kiuno 10mweus Kama tako la Demiss
 
Hakuna hali ya kudumu ndugu....Binadamu anamaudhi ila Mola ndo mtoa ridhiki liwe limelala au limesimama wote njia yetu moja tu....Dunian tunapita makao n kwa Mola
 
Hivyo vitakua vivulana sio wanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…