+mwisho baada ya mechi amekununia+
+maneno gani ili aweze kuachia uwazi+
hapo mtoa mada una maana mechi gani? Na uwazi gani unautaka tena?
Au ndo hata haya ya ku-standadaizi huna matumaini nayo?
Unaona sifa mwenyewe....Utakuja kufa wengine wameshajifia we jione mjanja kumbe wenzio kakuwai.inavyoelekea ww utakuwa sharobaro maana m2 mwenye busara zake hawezi kuhatarisha maisha yake kipumbavuWadada wa siku hizi bwana mi nashindwa hata kuwa-define, eti mdada nimemlaghai kaingia mpaka ndani ya 18 na baada ya ku-apply skills za kutosha mwenyewe akaamua kutoa mzigo. Mwisho baada ya mechi ananinunia eti tabia yangu mbaya sijamtongoza, kwani kutongoza kuna maana gani ikiwa nilichokitaka nilikipata au kwa kua sikumwambia "nakupenda" toka mwanzo wa mchakato mpaka unamalizika. hebu wakubwa zangu niwekeni sawa kwani maneno gani halisi ya kumwambia ili aweze kuachia "uwazi"?