Tabia ya Wazee waliopitia Ubaharia

Kuishi ndan ya meli ni kama kuzimu,sasa unapotoka huko unakutana na mambo mengi ambayo unataka uyafanye...
 
Nadhani kuna sababu za kisayansi zinazowafanya hawa jamaa wawe hivi,nimeshawashuhudia mabaharia wa kale wakifanya mambo ya watoto wa shule,disko wao,kukimbizana na videmu mitaani wao,mitungi ya kupitiliza wao,yuko mmoja mitaa ya keko yeye ni gongo mtu,ila anaongea ugha za kimataifa zaidi ya tano,(kama ni kweli).
Hawana familia,hata apate sh.ngapi haridhiki,na fedha zote lazima ziteketee ktk starehe.
Mi nadhani ubaharia ni aina fulani ya jela sasa mtu akifunguliwa ina kuwa ni balaa(hawawezi kuji control wenyewe)
walishazoea ktk meli kuanzia misosi mitungi fegi ganja nguo mpaka chupi wanapewa sasa kujinunulia hawezi.
 

mkuu yok huku mzee mmoja alikuw baharia yupo smart akipiga nguo nyeupe anamatch zote had kiatu
 

walikuwa wanapitwa na wakati.ndo wanakuja kustuka kuwa wakati ujana unapita walikuwa wakijisaidia baharini.so wanataka kurudisha umri nyuma ili na wao waendane na wakati
 
Kuna mzee hpa kkoo anaitwa mzee muhsin staili zake ndyo km izo ana matusi balaa
 
mtu yoyote anayefanya kazi melini ni baharia hta km akiwa mpishi


sawa,kwanini tusiwatofautishe?baharia nahodha,baharia mpishi,baharia msaidizi wa nahodha.etc etc kama jamaa alikuwa mpishi usione aibu kusema
 
kuna mwingine yupo pale royal girraffe(sudan temeke) anaitwa mpoma kama unaingia club juu yeye ndio anahakiki ticket ana mambo hayo hayo...nahisi amefika miaka ata 55 to 60 akivaa lazima mfuko wa nyuma atoe leso nje
 

Yan hawo ndo walivyo awawez kibadila ata kidogo
 
Teh teh teh!
We ulitegemea masugar dady wajizeeshe?
Huyo lemutuz tumbo kuuubwa na umri mkubwa lkn akili ka karanga!
anapenda ndogo ndogo ka lodilofa!
Majitu mazima haya aibu.

Kambaff kabisa.
ovyoo!

CC: @W.J.Malecela umeshaamka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…