Tabia ya wanawake kuringa na kujisikia

Tabia ya wanawake kuringa na kujisikia

Pambana na hali yako
Mkuu hawa wadada wa mwendokas hawajui
Kama kuna kesho
 
Inategemea na muonekano wako kwa wakati huo,
Mbona sisi wengine hatujawahi kufanyiwa hayo madharau?
huwezi kukuta kijana kama sharobaro anafanyiwa hayo,ila hufanyiwa watu wazima wenye uelewa wa mambo ndo maana kama umeona mtoa habari kazungumzia hilo katika mazingira fulani ila sharobaro kila siku wapo nae mtaani atadenguliwaje sasa?
 
Tatizo huwa mnazani wadada hatuna mawazo,unaongea na MTU anakuangalia ila mawazo yake yapo kibiti,alafu ilo shwala la kusema wadada wakiitwa tu wanahisi kutongozwa sio kwamba tunahisi ila ndo ukweli ukiitwa na wanaume kumi ujue Tisa watakutongoza au wote kabisa.
Kwani kutongozwa si ombi tu la hiyari ukubali au ukatae, acheni dharau.
 
hahaha kuku msela kwenye real life cjawahi kukutana na maswaibu yako, ila kwenye sms chatting ndo wadada huwa wananiboaga sana..utakuta demu kaanza kuku-text yeye mwenyewe hlf anategemea wewe mwanaume ndo uendeleze story, kidemu kinaanza na text kama vile, "niambie" "mambo" "hi" halafu cha kuongea hana....uzuri mimi huwa siwafichi nawachana ukweli kuwa text zao zinaboa, wananinunia wee ila dawa ndo imewapata, mwingine anajibu sms yako ndefu kama hivi "mhmhmhmh" au "oh" au "k"

Sasa mademu wakitext hivo sielew ni uvivu wa ku-text, kajifosi kuku-text, kujifanya wako bize sana, mashauzi, kuringa, kujiona keki sabab ya kutongozwa sana, au cjui ndo trend ya sasa kuku_msela rubii
Hahahaha umenikumbusha kuna kadem nimeyoka kukaacha mwezi uliopita kalikua kanapenda kujibu" mhmhmh"
Usipomjibu analalamika sasa kila mfa yeye ni mhmhmh alafu anataka nimjibu. Nlimwambia akacheze na watoto wenzake.
 
Ya watoto muda wamekaa kwenye alert vs wanaume.Ilishanitokea nimepotea sehemu nataka kuuliza sehemu.Yule dada wala hakunijibu.Ukiwaita akili zao zote wanahisi unahitaji hicho kitu.Rubbish.
 
kwa hyo unakubaliana na hoja wadada mna hiyo tabia?ili tuwe tunawakwepa wadada wakati wa kuuliza?

Salimieni wakaka wenzenu
Ulizeni wakaka wenzenu
 
Tatizo huwa mnazani wadada hatuna mawazo,unaongea na MTU anakuangalia ila mawazo yake yapo kibiti,alafu ilo shwala la kusema wadada wakiitwa tu wanahisi kutongozwa sio kwamba tunahisi ila ndo ukweli ukiitwa na wanaume kumi ujue Tisa watakutongoza au wote kabisa.
Kawaida mwanamke utongozwe bwana sasa msipotongozwa nako mnakimbilia kwa waganga. Sasa si bora usubiri utongozwe ukatae sio hii MTU anakuja kukuliza jambo mdomo unaubinua kama kijiko cha katapila. Ila editha nami nitashusha mistari kwako muda si mrefu nachukua twisheni pahala kwanza
 
Demu kama hataki mimi huwa nampotezea kudadeki...Sijajua huwa wanaringia nini hasa ambacho ni kipya
 
Kawaida mwanamke utongozwe bwana sasa msipotongozwa nako mnakimbilia kwa waganga. Sasa si bora usubiri utongozwe ukatae sio hii MTU anakuja kukuliza jambo mdomo unaubinua kama kijiko cha katapila. Ila editha nami nitashusha mistari kwako muda si mrefu nachukua twisheni pahala kwanza
heee.
 
Salimieni wakaka wenzenu
Ulizeni wakaka wenzenu
Hapana wadada ndio nzuri zaidi kuwasalimia na kuwauliza tusipowasalimia ni nani atawaoa baadae mtakuja kulalamika humu oo hatuolewi tunagundu wanaume wanatuchunia
 
Doh hata huyu anaringa au?
65535239735b4fad8eedb6a613d5b0b4.jpg

Hatar sana mam yoyoo

sent by IPhone 6 using jamii forum app
 
Hapana wadada ndio nzuri zaidi kuwasalimia na kuwauliza tusipowasalimia ni nani atawaoa baadae mtakuja kulalamika humu oo hatuolewi tunagundu wanaume wanatuchunia

Ndio maana mnabiduliwa midomo sababu hata wao wanajua salamu zenu mwisho wake ni mitongozo
 
Ndio maana mnabiduliwa midomo sababu hata wao wanajua salamu zenu mwisho wake ni mitongozo
Kwani kutongozwa ni zambi?mpaka umbinulie midomo mtu wanawake wengi wanaomba wapate hiyo opportunity ya kutongozwa wanaikosa ndio maana wadada wengi wanajiremba na kuvaa mavazi ya ajabuajabu unafikiri ili iweje?
 
Back
Top Bottom