Tabia ya wanawake kuringa na kujisikia

Tabia ya wanawake kuringa na kujisikia

Doh hata huyu anaringa au?
65535239735b4fad8eedb6a613d5b0b4.jpg

Hatar sana mam yoyoo

sent by IPhone 6 using jamii forum app
..mama yeyoo nsuri hii,..
 
Kweli kila mtu na hobi yake.
Kwangu, mwanamke mwenye kuringa, mwenye nyodo nyiingi, msimangaji na mtukanaji wakati wa kutongozana, humpa hadhi ya ugumu na ndiyo sifa ninayoipenda awe nayo mwanamke ninayemtaka. Hutoka kwenye kutongozana kawaida na kuwa ligi.
Ninapenda mwanamke mgumu na si wa aina ya maharage ya mbeya.
Ujue nyati, nyumbu, swala, nk nk, waliumbwa na mapembe yenye ncha kali, lakini linapokuja suala la kuliwa, hizo pembe hugeuka mapambo yasiyokuwa na maana yoyote kwao. Hukimbia na kujisahau kuwa wana zana za kujihami walizojaaliwa na muumba wao,
hatimaye kuishia kuliwa kinyama.
Kwangu mwanamke nimtakaye akitaka yaishe bilabila ajifanye mpole halafu ajenge point, aah, huyo "kapona" kweli naachana naye.
Lakini ikitokea nikatukanwa, dah! Sijui nisemeje tu!
Kifupi lazima nimpate. Kipesa, akipangua mtego huo natumia dawa, akipanchi dawa labda zikawa feki basi naanzisha fitina za kikesi.
Hadi mahakamani tutafika, ili mwisho wa siku aombe kukaa meza ya mazungumzo kumaliza tatizo.
Ndiyo hapo nami nitapenda kukielewa "kiundani" anachoringia na kujivunia. Na ni lazima "nikijue"
 
Tatizo huwa mnazani wadada hatuna mawazo,unaongea na MTU anakuangalia ila mawazo yake yapo kibiti,alafu ilo shwala la kusema wadada wakiitwa tu wanahisi kutongozwa sio kwamba tunahisi ila ndo ukweli ukiitwa na wanaume kumi ujue Tisa watakutongoza au wote kabisa.
Kumi wote ni kutongoza tu!
Huwa unatumia mbinu gani kumalizana nao kiustaarabu kisha kuondoka zao kwa moyo "kwatu"
 
Back
Top Bottom