Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,754
alitaka hasi na chanya zinasaneKwani wakaka hawakuepo?
ungewauliza wakaka wenzako
alitaka hasi na chanya zinasaneKwani wakaka hawakuepo?
ungewauliza wakaka wenzako
alitaka hasi na chanya zinasane
Kwani kutongozwa ni zambi?mpaka umbinulie midomo mtu wanawake wengi wanaomba wapate hiyo opportunity ya kutongozwa wanaikosa ndio maana wadada wengi wanajiremba na kuvaa mavazi ya ajabuajabu unafikiri ili iweje?
Mi Niliingia Exim Bank Nyerere Road Branch Nilipeleka Makabrasha Flani Kwa Meneja, Meneja Akaniongoza Kwa Mdada Mfanyakazi Wa Humo Eti Yule Dada Ananiambia Fungua Hiyo Barua Soma Inahusu Nini? Khaaa Nikamwambia Chukua Usome We Si Ndio Kazi Yako? Tulibishana Kwa Ujinga Nikamwambia Mi Nimeishia Darasa La Saba Sijui Kiinglishi Ila Huyo Bosi Wako Ananiheshimu Nikawa Naondoka Nikamwambia Dada Utafukuzwa Kazi Ukapike Matembele Kwenu Kwa Ujinga Wako! Samahani Nyiiiingi, Siku Hiyo Wamekuja Ofisini Kwetu Akaelekezwa Kwangu Kuniona Tu............Hahahahaaaa Alikuwa Mpole Kama Ana Vyeti Feki Vile . Wadada Acheni Dharau Mnachelewa Kuolewa Kwa Ujuaji Wenu
Huyu anatakiwa akijipendekeza tu kuuliza swali anajibiwa na kizinga cha maana.Kwani wakaka hawakuepo?
ungewauliza wakaka wenzako
Huyu anatakiwa akijipendekeza tu kuuliza swali anajibiwa na kizinga cha maana.
Kaka: "Samahani dada. Habari za saa hizi. Wewe mwenyeji kidogo hapa?"
Dada: "Salama tu. Mi si mwenyeji ila ninekuja kumtembekea dada na yeye ninemkuta hayupo, halafu natokea mbali Kiwalani na nauli nilikuwa namtegemea Dada na nimekuja kumuomba ada ya kaka yetu zinatakiwa laki tatu. Na hapa hata kula sijala. Unaweza kunisaidia hizo laki tatu na hela ya chipsi? Kaka yetu kafukuzwa shule yani nashindwa hata kujua tutafanyaje"
Atakoma mwenyewe kuwaparamia wanawake asiowajua.
Mi enzi za ujana nishawahi kumsalimia demu mara ya jwanza jibu lake anataka zawadi ya birthday.
Nikakoma ubishi mwenyewe.
Hata kama nataka kukununulia zawadi, si inabidi nikujue kwanza nijue unapenda zawadi gani?
Kitoto kimodo kimodo kweli. Lakini kwa mwendofasta ule, nikaogopa ajali.
Hata jina la kuandika kwenye kadi sijajua unaomba zawadi tayari?
Pole sana mleta mada.
Kuna kipindi nilipatwa na mkasa wa staili hiyo ya umepotea unataka kuuliza njia.
Mbaya zaidi nilikuwa nadrive , kwa hiyo yule dada nilimuita zaidi ya mara 3 na eneo lenyewe halina watu wengi hivyo mtu akikupita hadi ukutane na mwingine ni ishu..
Mimi nikaamia kumpa kavu kuwa "Dada sikutongozi , naulizia njia tuu"
Kwa aibu akarudi kunielekeza![]()
Ivo io avata yako ndio ww?Kwani wakaka hawakuepo?
ungewauliza wakaka wenzako
salamu na mitongozo matunda yake ndio ndoa na watatu kama siyo hiyo kitu hata wewe usingezaliwa hiyo ni process muhimu katika mahusianoNi jambo lisilo la lazima. hivyo msilazimishe salamu na mitongozo kisa si dhambi
salamu na mitongozo matunda yake ndio ndoa na watatu kama siyo hiyo kitu hata wewe usingezaliwa hiyo ni process muhimu katika mahusiano
wakati mwingine inabidi kulazimisha na wengi tu wameshalazimishaga na kufanikiwaSio lazima sasa msilazimishe watu kuwatongoza
wakati mwingine inabidi kulazimisha na wengi tu wameshalazimishaga na kufanikiwa
Hahaha........u made my day!!!!waache waringe bwana wakati wao huuuHi tabia inakera sana, wanawake jaribuni kubadilika, mtu hata hakutaki wala hana wazo la kukutongoza lakini akikusemesha kidogo tu, utadhani amekutongoza miaka mitatu mfululizo, majuzi nimepoteza direction mahala flani, nikamuona dada mmoja nikamfuata kistarabu, nikamsalimu na kumuuliza, bora hata mtu akujibu sipafahamu, niliambua kubinuliwa midomo utadhani tupo hospitali za kung'oa meno.
Bora basi uwe unaringa sura unayo, unakuta wengine sura ngumu kama nyama ya mamba lakini hata ukikasalimu tu kosa, kajitu anauchuna kakijitahidi sana utajibiwa kwa mkato utadhani kuna ugomvi wa kudhurumiana pesa.
Mbadilike japo sio wote ila asilimia kubwa mmezidi, ata sms utakuta kamtu kana jibu k., au p,,, hivi mnavojikuta wazuri utadhani hamuendi chooni kukata magogo, afu kajitu kanakuringia wewe mwanaume ambae bila wewe kusema yes katasota miaka 30 hakajaolewa tu,
Dada zangu naamini jumbe umefika na mtaufanyia kazi.
wapo aisee ni jana tu nimekutana na mdada nikamsalimia tu mambo vp khaa! amenipita mkavu mkavu nikaona isiwe tabu hivi wadada mnakuwaga mna maana gani mbona mnakuwa complicated sanaduh..binafsi sijawah kupatwa na swaibu kama Hilo,yan kumuuliza mtu njia tu ndo akubinjulie domo kweli?
Kama ulivyomuomba yule jamaaHa ha ha a
Mie huwa nawaletaaa akifikia kwenye namba ya simu naombaga Iphone
(kidding)Kama ulivyomuomba yule jamaa(kidding)
Ila kwa hii njia yako inamaanisha yeyote anayeweza kukupa iphone utafall kwake.
Wanawake mnapenda luxuries huo ndo ukweli, kwo mtu ambaye anajipenda na ambae sio mbahili yani anawanasa kiulaini tuHilo nalo ni tatizo
Sharobaro?? Unamaanisha nini?huwezi kukuta kijana kama sharobaro anafanyiwa hayo,ila hufanyiwa watu wazima wenye uelewa wa mambo ndo maana kama umeona mtoa habari kazungumzia hilo katika mazingira fulani ila sharobaro kila siku wapo nae mtaani atadenguliwaje sasa?