Tabia ya wamiliki wa channel za youtube kuweka maneno ambayo mtu hajazugumza kwanini haipigiwi kelele

Kama leo nmeingia Youtube nakaumbana na hio nmejiuliza inakuwaje mambo hayaView attachment 2019988

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app

IMG_3064.jpg

 
Kwanza wewe mwenyewe utakuwa haupo sawa ndo maana unavutiwa na hizo Video za Youtube zenye vichwa vya habari fake....
 
Page atleast za kutembelea utakutana na uhalisia wa title

Ayotv
Snash
Simulizi na sauti

Ongeza na zako
 
Back
Top Bottom