Tabia ya Shemeji yangu

We mgeni nini?.Hapa Dar foleni ikiwa kubwa kutoka Mabibo hostel hadi Ubungo ni masaa sita.Inaonesha ulshamchukia Shemeji ako hata angewahi we ungesema mzigo kaufunga vibaya.
 
1.hizo funguo wewe za nini?
2. una wasiwasi wa nini?
 
dah pole sana dada!
stor yako inahuzunisha ila sory mwishoni nlijikuta nacheka coz ulisema baada ya kuona unachelewa mambo yako uliamua kumtext na kumwambia ashuke hapo alipo arud! sasa ikawaje jamaa kafika anaanza kukuchek akat ushamwambia umeondoka?

nna wasiwasi na ufaham/uelewa wa huyo dogo mtu.

ninachoweza kukushaur tunza txt akija bby wako mweleze yote, bt usionekane kama unamchomea ila mwambie as if unataka amfunze abadilike,!

good luck
 
Ila kuna watu mna moyo,mie hata huo muda wa kujibizana nae kwa sms nisingeupata!!!
Juhudi zote hizo ulizofanya za kutuma msgs na kupiga simu ukaambulia matusi na bado uwe na wasiwasi!
Labda kama alipewa roho aniletee baada ya kuambiwa yangu ina expire in a day!!
 

Ha ha ha ha. Nmekupenda bure jamaniiii Ennie
 
Last edited by a moderator:
1.hizo funguo wewe za nini?
2. una wasiwasi wa nini?

Hlo swal la kwanza ndugu n personal lakini hlo la pl n was was kwamba sjui huyo shemeji kasemaje kwa kaka ake.lazma niws na waswas
 
We mgeni nini?.Hapa Dar foleni ikiwa kubwa kutoka Mabibo hostel hadi Ubungo ni masaa sita.Inaonesha ulshamchukia Shemeji ako hata angewahi we ungesema mzigo kaufunga vibaya.

Mm s mgen wa jiji na nnakomaa anlo mpaka sasa.naljua sana folen lake.lakn, kwann anidanganye katoka yupo karbu wakat kaka yake alpo ulzia kwao kajbiwa ndo anatoka.what does it mean? ??? Hayo ya folen isiwe kgezo
 
We mvumilivu..Mie nisingevumilia muda wote huo
 

Ana moyo sana....
Dharau za rejareja waga ngumu kuvumilia asee
 
Mie nlivokua kisilan angeoga matusi uyoo kama kakaake angechukia tu na ndoa ingekufia apo
 
Mie nlivokua kisilan angeoga matusi uyoo kama kakaake angechukia tu na ndoa ingekufia apo

Ha ha ha ha ha tumboo babe... umenfurahsha sana jamn mie
 
Last edited by a moderator:
hv hakuna mashost forum mana hz story wenzangu na miye tutakuwa kike bure
 
Ana moyo sana....
Dharau za rejareja waga ngumu kuvumilia asee

Halafu zinatoka kwa mdogo wa boy friend imagine!
Huyo mume tu akitaka kunionyesha dharau za hivyo azifunge zikaze!!!!
 
Halafu zinatoka kwa mdogo wa boy friend imagine!
Huyo mume tu akitaka kunionyesha dharau za hivyo azifunge zikaze!!!!

Ha ha ha. Tena azfunge kwa nyororo zslegee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…