acha wasiwasi bi dada huyo dogo kakosea jaman na hakutakiwa kupanic yani anapanic wakat yeye ndio mwenye makosa?? huhuhuuuu angekutana na mimi huyo walah angeandika chini fyokoooo za.nin anazingua anataka umnyenyekee ili iweje labda hata kama shemeji mmxxiuuuu apeleke pufumbu zake hukooo asikupe pressure
Not to my puppy..I can't let him go..uzur wake naujua mm.na ana meng madhur na madhaifu ya kuhesabka.n mskvu sana hata kwenye decision making yupo in leizzure affair
Sawa nmekuelewa mkuu, ni ushaur wa busara saba.ntaudanyia kaz
Hadithi ya sungura na fisiKwanza kabla sjakujbu unahisi ni aina gani ya hadith? ?
acha wasiwasi bi dada huyo dogo kakosea jaman na hakutakiwa kupanic yani anapanic wakat yeye ndio mwenye makosa?? huhuhuuuu angekutana na mimi huyo walah angeandika chini fyokoooo za.nin anazingua anataka umnyenyekee ili iweje labda hata kama shemeji mmxxiuuuu apeleke pufumbu zake hukooo asikupe pressure
Kwa maelezo hayo kama huja yachakachua then huyo mpenzi wako hana sababu ya kukukasirikia wewe,unless kama mpenz wako ni wale wanao endeshwa na ndugu bila kujali uhalisia wa jambo.
JAMBO LA PILI, NDUGU YANGU HANA MAMLAKA YA KUMTUKANA MPENZI WANGU, hata kama ana makosa.Kwahiyo alitakiwa kulikemea hilo kwanza bila kasubiri arudi.Kwa hili nina wasiwasi jamaa atakuwa ni type ya watu niliotaja hapo juu
Akiwa na akili atafuata huu ushauri lkn akiwa ndo walewale basi ataendelea kuntangaza shemej yake kuwa dk mbili mbele sijui haziivi na kaka yake sjjui nini!... hujaolewa tayari ushaanza kuchagua marafiki wa ndugu wa mume? Unajua kwa nn mchumbaako anaishi na mdogo wake mpaka sasa? Unajua ni kiasi gani anampenda mdogo wake? Na akiendelea hivi itafika muda jamaa itabidi achague mchumba au mdogo wake na si wote wanaoegemea upande wa mchumba wengine huwaambii kitu kwa ndugu zao! Atachagua upande wa ndugu yake na hapo atapokuja tena kuntangaza!.. ndoa wanazitaka lkn kuvumilia na kujipa muda wa kuwasoma ndugu hamuwezi!
Ondoa hofu Bi. Kan....michango yako katika post mbalimbali inaonesha wewe ni mtu usiyebabaishwa na vitu vidogo...lakini hapa naona kinyume chake...kutukanwa utukanwe wewe..ushahidi unao...na bado hofu zikujae...you are better than this..come on!!!
Yeah kama mimi vile. I dont give a ---- about mpenzi sijui upuuzi gani kama unashindwa kuelewana na ndugu yangu kwa ishu ndogo namna hii. Umejibizana kwa ishu ndogo sana ungeweza pia kuchukua uamuzi wa kuvifata mwenyewe huko Buguruni baada ya kijana kushindwa kutokea siku ya kwanza.
Sasa hapo chakukutia wasiwasi ni kitu gani? kama kutukana katukana yeye makosa kakukosea yeye wasi wasi uwenao wewe? shosti jiamini na simama kwenye ukweli, akija mueleze ukweli halisi na sikunyengine usikubali kuachiwa vitu ukavichukue kwa wifi wala shemeji,akupe mwenyewe .....