mambo......kama nakufananisha vile?are you new here?
Kata mawasiliano nae. Lengo ilikuwa ni biashara, kama hakuwa kibiashara mwisho wake umeishia hapo. Just frankly tell him, "ndugu namba yangu niliweka kwa ajili ya biashara na kwa kuwa biashara imeshafanyika, am sorry that siwezi endeleza mawasiliano nawe. All the best"
Dah, msamiati mpya huu!au mkuu usikute unataka kutuomba ruhusa kiujanja,
we kama humwogopi mungu gonga hiyo
shadr at el munya.
Hapo hakuna maswali, vinginevyo na wewe uwe umekolea.