Tabia ya Mwanamke asiyewasjibika Kitandani

Tabia ya Mwanamke asiyewasjibika Kitandani

pilau

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
1,595
Reaction score
450
Inasemekana wanawake wengi wenye ndoa wanakuwa na tabia zifuatazo zinazosababisha waume zao kwenda nje ya ndoa na wale wasio na tabia ya nyumba ndogo wanaishia kubakwa na waume zao

  1. Mwanamke asiyemtamkia kabisa mumewe kuwa anajisikia kuwa naye.
  2. Mwanamke ambaye baada ya mechi huwa haonyeshi dalili yoyote kama ameridhika na tendo au hakuridhika
  3. Mwanamke ambaye akiwahi kulala yeye mume akija hataki kuguswa
  4. Mwanamke ambaye mumewe akimgusa anakubali huku analalamika .. kama ulikuwa unataka kwa nini hukuwahi kulala unangoja nilale ndo unakuja kunisumbua..
  5. Mwanamke huyo hatingishiki kwenye mechi kata kidogo tena amenuna... anangalia kushoto au kulia anangoja goli liingie ... kama golikipa aliyekata tamaa ya kudaka penati......
  6. Mwanamke haweki kabisa maandalizi kama zana za kufanyia usafi baada ya mechi kama taulo, kitambaa nk
  7. Ziko nyingine nyingi ambazo ni kero zinazowafanya wanaume kusononeka....na mara nyingine juamua kuzira na kuwa mwanzo wa mmoja kuhama chumba..... Wanawake wenye tabia hizi jirekebisheni
 
mpeane space jamani? kila siku unataka hata humuachi mtu kuwa na njaa?
asubuhi..usiku mara 3 bado kazi na stress za dunia hiyo hamu ataitoa wapi?.......mpe likizo mkuu atarudi na appetite hadi mwenyewe utakimbia
ndoa ngumu lakini...sijui kama nitaweza
 
kila siku ndoa ndoa ndoa ndoa mi nimeghaili kama hali ndo tete hivi,jahazi la ndoa limezama upande mmoja kila mtu anajitahidi kupiga mbizi afike nchi kavu dah:fear::fear::fear:jitahidini kuvunja ukimya ndani ya nyumba ili kupunguza madukuduku moyoni wapendwa.
 
kuona aibu!
anaficha uso ataki atakaiona jinsi inavyoingia!
 
kila siku ndoa ndoa ndoa ndoa mi nimeghaili kama hali ndo tete hivi,jahazi la ndoa limezama upande mmoja kila mtu anajitahidi kupiga mbizi afike nchi kavu dah:fear::fear::fear:jitahidini kuvunja ukimya ndani ya nyumba ili kupunguza madukuduku moyoni wapendwa.

Asnam............Hakuna haja ya kughairi wala kuhofu ndoa ni haki yako... haikimbiliki n lazima kupitia na kupambana na mazngira yake.... lakini kero zinaanzia upande mmoja ambao mmoja akigundua tatizo hana bud kulitatua leo ni kero zinazofanywa na wanawake kero za akina baba itafuatia... swala ni kuwajbika kwa kila mtu pasipo na manung'uniko

mpeane space jamani? kila siku unataka hata humuachi mtu kuwa na njaa?
asubuhi..usiku mara 3 bado kazi na stress za dunia hiyo hamu ataitoa wapi?.......mpe likizo mkuu atarudi na appetite hadi mwenyewe utakimbia
ndoa ngumu lakini...sijui kama nitaweza

Hiyo haiwezi kuwa sababu ya msingi ya wewe kushindwa kuingia kwenye ndoa unless una sababu nyingine za ziada na za msingi kabisa.

Na pia kwa kufanya hivyo uwe tayari kuwa nje ama mbali kabisa na tendo la zinaa ili kuepuka kumuudhi Muumba wako.
 
Asnam............Hakuna haja ya kughairi wala kuhofu ndoa ni haki yako... haikimbiliki n lazima kupitia na kupambana na mazngira yake.... lakini kero zinaanzia upande mmoja ambao mmoja akigundua tatizo hana bud kulitatua leo ni kero zinazofanywa na wanawake kero za akina baba itafuatia... swala ni kuwajbika kwa kila mtu pasipo na manung'uniko

aah maisha yenyewe mafupi haya uongeze stress za ndoa,uchumi nk ni kukikaribia kifo(sizitaki mbichi hizi mwenzio)
 
walio kwenye ndoa wanataka kutoka wasio kwenye ndoa wanataka kuingia,basi vurumai
 
Mh! Wanaume hata mfanyiwe nini hamkubali ni lazima mkaonje huko nje, sasa sijui huwa mnakuta utamu tofauti au ni vipi.... Yakiwakuta makubwa mnarudi hoi kwa wake zenu....
 
SMILE hata akiachwa kwa mwaka mzima hutasikia baba mapolomoko geukia huku, inakuwa ya baba paroko naleta mashitaka kwako visigino na vipepsi kwasana.wanaume tunashidasana. aukwakuwa tunaoa ambao wameshatumika kwa sana wanakuwa walisha choka
 
Back
Top Bottom