Tabia ya Mwanamke Asiyewajibika Kitandani!!

Tabia ya Mwanamke Asiyewajibika Kitandani!!

WA-UKENYENGE

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2011
Posts
2,918
Reaction score
1,236
Wakuu, nami leo nimekuja kivingine!!
Inasemekana wanawake wengi wenye ndoa wanakuwa na tabia zifuatazo zinazosababisha waume zao kwenda nje ya ndoa na wale wasio na tabia ya nyumba ndogo wanaishia kubakwa na waume zao

*Mwanamke asiyemtamkia kabisa mumewe kuwa anajisikia kuwa naye.
*Mwanamke ambaye baada ya mechi huwa haonyeshi dalili yoyote kama ameridhika na tendo au hakuridhika
*Mwanamke ambaye akiwahi kulala yeye mume akija hataki kuguswa
*Mwanamke ambaye mumewe akimgusa anakubali huku analalamika .. kama ulikuwa unataka kwa nini hukuwahi kulala unangoja nilale ndo unakuja kunisumbua..
*Mwanamke huyo hatingishiki kwenye mechi kata kidogo tena amenuna... anangalia kushoto au kulia anangoja goli liingie ... kama golikipa aliyekata tamaa ya kudaka penati......
*Mwanamke haweki kabisa maandalizi kama zana za kufanyia usafi baada ya mechi kama taulo, kitambaa nk
Ziko nyingine nyingi ambazo ni kero zinazowafanya wanaume kusononeka....na mara nyingine juamua kuzira na kuwa mwanzo wa mmoja kuhama chumba..... Wanawake wenye tabia hizi jirekebisheni.

Sijui watalaamu wa huku mnasemaje!!
 
Lol mambo ya kikubwa haya.....!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hii si ilikuwepo hapa majuzi? Ama nimeanza kuwa na t8me clock naona yajayo? Doomsday is here, holy raviolli

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/430489-tabia-ya-mwanamke-asiyewasjibika-kitandani-2.html#post6096294
 
Mi sio mwanandoa bado lakini ukichunguza haya maandiko kwa makini utaona kitu cha msingi sana.

Efeso 5: 25,28 ''Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye alivyolipenda kanisa, akajitoa kwa ajili yake,..vivyo hivyo imewapasa waume nao kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. Ampendaye mkewe hujipenda mwenyewe''

1 Petro 3:7 Kadhalika ninyi waume,
kaeni na wake zenu kwa akili
; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe.

Japokuwa sisi wafanyakazi pamoja na mishahara yetu tunataka motisha, Mwanamke si zaidi??? ukiweka akili mfukoni lazima utaona pa kukimbilia ni nyumba ndogo (non sense)
.
 
MODS... Namshangaa huyu jamaa ........Huyu jamaa amecopy na kupaste topic hii yangu niliyopost tarehe 08/04/2013 je huu ni uungwana? kwa nn asitafute ya kwake?

Hahaha tukisema kuwa hapa siku hizi utoto umezidi mnatuona wanaa
 
Hahaha tukisema kuwa hapa siku hizi utoto umezidi mnatuona wanaa

Jamaa anacopy kla ktu nukta hadi nukta .... kwa kweli sio utoto tu bali na ushamba ndani yake... fikiria topic ina views zaidi ya 3,000 ..........yeye anaianzisha upya na kujifanya n ya kwake noma sana!!!

Hasa kama topic yenyewe ni ur own creation...du report abuse bana
 
Jamaa anacopy kla ktu nukta hadi nukta .... kwa kweli sio utoto tu bali na ushamba ndani yake... fikiria topic ina views zaidi ya 3,000 ..........yeye anaianzisha upya na kujifanya n ya kwake noma sana!!!

pilau,topic umei-create wewe mwenyewe?mfano mtu aliona hapa ulipoweka kwa mara ya kwanza akakopi na kupest huko fb na wa ukenyenge akaiona fb na kuileta hapa unatoa kauli gani kuhusu hilo?
 
Wakuu, samahanini sanaaaaaa, sikuiona humu JF ndiyo nikaiweka. I am so so sorry, nimekutana nayo sehemu siyo humu jamvini. Binafsi napenda kuweka references, lakini kwa hili its my mistake.
 
MODS... Namshangaa huyu jamaa ........Huyu jamaa amecopy na kupaste topic hii yangu niliyopost tarehe 08/04/2013 je huu ni uungwana? kwa nn asitafute ya kwake?
Mkuu pilau, sikuiona humu jamvini, nadhani ilinipita maana nilikuwa busy na vita vya North Korea Vs US and her teritorry!! Sorry for plagiarising your work. Binafsi napenda habari kama hizi watu tujifunze, nadhani ndo lengo haswaaaa la wewe kukaa chini na kuianzisha. One family brother/Sister!!
 
...........Poa... tuko pamoja..........nimefurahi pia kusikia Face book nao wanachukua material kutoka Jamii Forum.....
 
pilau,topic umei-create wewe mwenyewe?mfano mtu aliona hapa ulipoweka kwa mara ya kwanza akakopi na kupest huko fb na wa ukenyenge akaiona fb na kuileta hapa unatoa kauli gani kuhusu hilo?

that is typical plagiarism as far as i can tell one has to acknowledge the source.
 
pilau,topic umei-create wewe mwenyewe?mfano mtu aliona hapa ulipoweka kwa mara ya kwanza akakopi na kupest huko fb na wa ukenyenge akaiona fb na kuileta hapa unatoa kauli gani kuhusu hilo?

Kwa hapo sina neno katika hapo tumeshamalizana n Ukenyenge... pia kumbe watu wa FB nao wana copy mambo yetu... any way tuendelee kujifunza....
 
Back
Top Bottom