Tabia ya Mwanamke Asiyewajibika Kitandani!!

Tabia ya Mwanamke Asiyewajibika Kitandani!!

that is typical plagiarism as far as i can tell one has to acknowledge the source.

ku-ackknowledge source tunafundishwa shule madam,sio wote wanajua ukifanya hivyo ni vema ukasema umetoa wapi,lakini pia hata shule tunaambiwa tufanye reference ili tusiwe sued hivyo ni katika kazi rasmi kama uandishi wa vitabu ndio kuna risk hiyo lakini sio katika mitandao ya jamii!maneno ya mitandao ya jamii sidhani kama yana hatimiliki ndio maana matukio kama haya ni mengi mno kwa sisi tunaopitia mitandao tofautitofauti tushazoea!mfano stories nyingi za mtu anaitwa R.B mi huwa nakuwa nishazisoma katika yahoo stories!!!huo ni mfano mmojawapo
 
Back
Top Bottom