Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,744
- 5,769
Mifano yako yote uliyoitoa ni kama inafanana. Mpaka leo wakazi wa kimara jibu ni hilo hilo. Kigamboni sijajua unalalamikia nini? Nauli ya 200? Kwa hiyo huo mfano sio nafuu.Ukinipa mifano mibovu yote, halafu uniambie nichague moja nafuu, nakuona huna umakini wowote.
Huo mfano wa kituo cha petroli nao umeutoa kwenye 'context' iliyotumiwa. Kukfanya mambo kwa kukiuka taratibu zilizopo, hata kama haina lazima.
Wewe hujui huyo aliyevuniwa mali zake pasipo kufuata taratibu alifidiwa?
Mkuu Nsoji go Nvaa, mimi sio wa kuniuliza kuwa Watanzania nawaona vipi, mimi Watanzania nawajua, na pia najua, huwa wanachagua nini!.Hv kweli ww mkuu P kweli umekazaniaga makonda makonda hv watanzania mnatuona vp
Uzembe tu unao wasumbua hasa kizazi hiki cha Chips mayai, na Magufuli hataki huo Ujinga na ndiyo maana wao wanauita ni mikwaruzano kwenye Miradi yake,Ukweli mchungu mafanikio yanahitaji mtu ajitume na atoke machozi, jasho na damu!
Mafanikio hayaji hivihivi! 😝
Kwa mtizamo huu, karibu maraisi wote duniani hawafai kuomba Kura tena, Kwa sabb kila pembe Corona ipo na haioneshi kama itaondoka leo Wala Kesho!!!Raisi Magufuli pammoja na mazuri yake mengi tu,lakini pia ana few weakness zinazoziba mazuri yake.Every point counts na hili la Covid-19 ndio final examination kwa miaka yake 5 kuona kama atapata sifa ya kuomba kura kutuongoza miaka mingine 5 ya lala salama au la.
Raisi wa Korea Kusini amefanya vizuri kudhibiti maambukizi ya Covid-19. Chama tawala cha Korea kimeipata kura nyingi anaendelea kutawala.Kwa mtizamo huu, karibu maraisi wote duniani hawafai kuomba Kura tena, Kwa sabb kila pembe Corona ipo na haioneshi kama itaondoka leo Wala Kesho!!!
Mkuu, leo 37 tuko nao kitaa wamepona, kumbuka Hilo mkuuRaisi wa Korea Kusini amefanya vizuri kudhibiti maambukizi ya Covid-19. Chama tawala cha Korea kimeipata kura nyingi anaendelea kutawala.
Una uhakika Force Accounts zimefeli au wapigaji ndio wamefeli kupiga kwenye force accounts? Njoo Mwanza nikuoneshe miradi kibao iliyofanyika na kuganikiwa kwa kiwango kikubwa kupitia force accounts.Huku kwenye ujenzi kaja na force account ambayo imefeli vibaya sana,
Kanunua ndege cash kwa mbwembwe lakini anashinndwa kuwanulia wanyonge barakoa na sanitizer
Na Tanzania itakuwa hivyo hivyo. CCM chini Rais Magufuli inatarajiwa kupata kura nyingi sana kutokana na namna Jiwe anavyoidhibiti Corona bila kuathiri maisha ya kila siku ya Watanzania.Raisi wa Korea Kusini amefanya vizuri kudhibiti maambukizi ya Covid-19. Chama tawala cha Korea kimeipata kura nyingi anaendelea kutawala.
Tusubiri stimulus packageMkuu, leo 37 tuko nao kitaa wamepona, kumbuka Hilo mkuu
Naunga mkonyo hoja , uzuri au ubaya wa mtu inategemea unamlinganisha na Nani ? Aje kwanza huyo ndo tuseme magu alikua mzuri au mubaya , unaweza kuta ajaye ndo shetani kabisaHala hala mkataa pema...
hata JK tulimbeza sana, alipoondoka akasema tutamkumbuka!, na kweli...
Hivyo na JPM hivyo hivyo huwezi jua...
Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze... - JamiiForums
P
Sheria haikutumika aliposhinda kesi na kupata fidia?Kwani sheria inasemaje ukijenga ndani ya hifadhi ya barabara? Ukivunjiwa unalipwa?
Inaonekana huna uwezo wa kuelewa mada inazungumzia nini.Mifano yako yote uliyoitoa ni kama inafanana. Mpaka leo wakazi wa kimara jibu ni hilo hilo. Kigamboni sijajua unalalamikia nini? Nauli ya 200? Kwa hiyo huo mfano sio nafuu.
Unafiki na upumbavu ni kudhani kutajwa makosa yake maana yake ni kuwa hakuna mazuri. In fact kuwaza hivyo tu ni zaidi ya ujuha.Ni Unafiki na Upumbavu uliovuka mpaka kusema Rais huyu ni Failure na kwamba hakuna Mema aliyoyafanya kwa Tanzania hii.
Kumbeza au kutombeza JK haina maana huyu asibezwe. Hapo ndipo akili zinapogotea.Hala hala mkataa pema...
hata JK tulimbeza sana, alipoondoka akasema tutamkumbuka!, na kweli...
Hivyo na JPM hivyo hivyo huwezi jua...
Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze... - JamiiForums
P
Nayaona sana, tena na zaidi ya hapo, lakini unatoka nje ya mada kabisa.Acheni Raisi wetu achape kazi huyu ndie mzalendo ,amefanya mambo mengi na yamefanikiwa kwa miaka tu mitano mfano,elimu bure, reli ya kasikazini , kutoa watumishi hewa na veti feki, , huyaoni hata haya
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni misemo tuu ya Kiswahili, mkataa pema, pabaya panamwita, tulimbeza sana JK kuwa ni rais dhaifu, sasa ameingia jabali, watu wanamkumbuka JKKumbeza au kutombeza JK haina maana huyu asibezwe. Hapo ndipo akili zinapogotea.
Lakini hii mipasho ya kila mara, kama "Mkataa pema..." sijui huwa mnaitumia kwa maana gani hasa!
Kwa nini unapaita 'pema' ?Ni misemo tuu ya Kiswahili, mkataa pema, pabaya panamwita, tulimbeza sana JK kuwa ni rais dhaifu, sasa ameingia jabali, watu wanamkumbuka JK
P