Tabia ya mke wangu kuniaga 'naenda kulala', sijaipenda

She's little unromantic ila hana kosa

Akisema tena hivyo jaribu kumuuliza kama unafanya utani...sasa mbona unaniacha? naye atakujibu ''wewe si bado upo?'' wewe utamjibu '' kila ukiondoka siwezi kuendelea bila wewe''
Basi kesho yake atakuambia twende
I had told her some day, akaanza kusema twende kulala. Lakini baadae nikatengua kiutani utani
 
Sisi wanawake kuna vitu tunatakiwa kufanya tukiingia ndoani hicho ni kimojawapo.

Naenda kulala mume wangu.
(anakuaga ili kama unamhitaji muda ndio, jiongeze)

Mume wangu ninaamka (kama unamuhitaji maliza kabisa ndio aamke)

mwingine anausingizi wa karibu, mwingine akiamka hutampata tena hadi jioni kutokana na majukumu.

Kila la kheri kwenye ndoa yako
Daah,sisi ambao hatujaoa tunakosa mengi mnooo.
Hakika mwakan lazima nioe
 
  • Thanks
Reactions: Luv
She's little unromantic ila hana kosa

Akisema tena hivyo jaribu kumuuliza kama unafanya utani...sasa mbona unaniacha? naye atakujibu ''wewe si bado upo?'' wewe utamjibu '' kila ukiondoka siwezi kuendelea bila wewe''
Basi kesho yake atakuambia twende
kumbe usipokunywa viroba unatoa ushauri mzuri hivi..big up
 
NAHISI UNA TABIA YA KUKAA SANA SEBURENI BILA KWENDA KULALA MAPEMA NA MKE WAKO. INAWEZEKANA AMEONA NI BORA AKWAMBIE HIVYO NA MARA NYINGI AKIKUMBIA HIVYO UJUE ANAHITAJI UMFUATE ILI UMPE HAKI YAKE
 
anawai vuanguo usimuonee kwani kunasiku amewai kuvua nguo mbeleyako?au avua mbeleyako uwaanakua kajifunga kitenga?
 
Dah ama kweli wakubwa wanafaidi
Nikioa na Mimi ntafaidi chance kama hizo
Hapo anakuita kimafumbo ukamtie mkomboti wa haja
 
Back
Top Bottom