ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 24,999 Reaction score 61,236 Aug 24, 2025 #1 Kuna watu hawana aibu yaani siku zote hakupigii simu eti ikifika tarehe 23 ndo unaona missed call zake hio NI ujinga aibu Sana afu unakuta ni mtu mkubwa tu.sisi tunakula bata kila siku tunapojisikia kama unadhani tunaishi kwa mshahara pole Sana.
Kuna watu hawana aibu yaani siku zote hakupigii simu eti ikifika tarehe 23 ndo unaona missed call zake hio NI ujinga aibu Sana afu unakuta ni mtu mkubwa tu.sisi tunakula bata kila siku tunapojisikia kama unadhani tunaishi kwa mshahara pole Sana.
proton pump JF-Expert Member Joined Apr 30, 2017 Posts 7,616 Reaction score 11,850 Aug 24, 2025 #2 mbaya sana