mjumbe wa bwana
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 5,287
- 6,185
Nokia ya TorchWewe ndio mtumiaji wa smart phone.
Mute group wewe acha ushamba wa kuzima data.4m4 wanamitiani Leo Sijui ww umetoka wap huku
watu wanazima data kuepuka usumbufu wakiwa wanafanya kazi kuna group alikauki SMS
Thread zangu ni kali, mafuriko lazima.Vp mkuu, pole sana.
Leo naona harufu ya pu. m.bu imetulia!!!!!
Endelea kushangaa ila usisahau kuwasha data.Nitashangaa kam mtoa post atakua mwanaume
Sijawahi kuzima data na sitawahi itajizima yenyewe kifurushi kikiisha
Kuna njia mbadala una force stop whatsapp..ukizima data utakapowasha unadrain battery kwa kasi maana huwa vinakuja kwa mkupuo mpaka ram inazidiwaCharge ndyo tatizo mkuu, tatizo sio bundle! Pia kumbuka kuna watu hawana kazi kwenye baadhi ya groups wanna chat muda wote, hivyo wanasumbua. Nibora uwashe data muda ambao utatumia/kusoma message na emails
[emoji13]Sawa mkuu kwani ukioa unapewa na button ya kuzimia data
Ukizima data unakuwa umeokoaje umasikini wakati ukiwasha tu inakula zile zote ambazo ulikuwa umezisubirisha?Umaskini mkuu ndo unasababisha yote haya. Hakuna anayependa kuzima data bali ni masuala ya cash tu yanasumbua..
Sikuhiz bando bei cheap sana hasa ukiwa na line ya chuo offer kibao usijikute wakishua sanaUmaskini mkuu ndo unasababisha yote haya. Hakuna anayependa kuzima data bali ni masuala ya cash tu yanasumbua..
Afadhali umemwambia kaka, mara tu utakapowasha data betri, ram na bando vyote vinaliwa kwa kasi.Kuna njia mbadala una force stop whatsapp..ukizima data utakapowasha unadrain battery kwa kasi maana huwa vinakuja kwa mkupuo mpaka ram inazidiwa
Sio kila ukiwasha data ni kwa ajil ya wasap tyu akna mama mbn mnasumbua xkuhiz ndo tatzo lenu msiokua na kaz mda wote mnawaza kuchat tu umbea cjui instagramKuna njia mbadala una force stop whatsapp..ukizima data utakapowasha unadrain battery kwa kasi maana huwa vinakuja kwa mkupuo mpaka ram inazidiwa