Charliemic
JF-Expert Member
- Feb 17, 2019
- 604
- 976
Hii tabia huwa inanikwaza sana halafu ni ya wengi sana! Upo kwenye daladala unatoa simu ujibu meseji au kuanglia kama kuna jipya, sasa jirani yako bila aibu anakodolea macho kwenye simu utadhani inamuhusu!
Unaandika meseji yeye anafuatilia na kusoma unachoandika!
Tuweni wastaarabu jamani
Unaandika meseji yeye anafuatilia na kusoma unachoandika!
Tuweni wastaarabu jamani



zako.
Ni km protector zile za glass ila yenyew imetengenezwa kwnye mfumo kwmba utaweza kuona kinachofanyika kwnye simu only if uko usawa wa 90° kutoka usawa uliowekwa simu, pia utweza kuona kama uko umbali wa 30CM plus hzo nyuzi 90°kutoka kwnye usawa ulioshika simu.
Kwenu nawasilisha