my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
Duh 😁Ukimaliza kujishika sehemu za siri uwe unaramba vidole.
Inasidia kuongeza nguvu za kiume.
Just joking.
Sijakuelewa unamannisha nn mwezini?Ukiwa mwezini hua unafanya hivyo pia?
Sehemu zako za siri nizakiume au kike?Nina tabia ya kupenda kujishika sehemu za siri nikilala au hata kama sijalala nikiwa peke yangu. Mpaka sasa hata nikiwa kwa group ya watu hali ya kutaka kujishika inanijia lakini na control.
Zamani nilikuwa na tabia ya kuchezea kitovu sasa hii tabia imepotea imekuja ya kushika sehemu za siri.
Nifanye nini ili niache hii tabia nisije nikapata aibu?
Na kama haijaisha je?Ni stage tu ya makuzi. Ukivuka umri wa balee hiyo tabia itaisha automatic
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisikii kitu imekuwa kama nimezoea hivo tu lakini sifeel kitu
Mbona maswali ya msingi hujibu?? Wewe ni He au She??Na kama haijaisha je?
Nyeto ni nn?Hiyo ni stage ya kuanza kupiga nyeto
Sent from my iPhone using JamiiForums