Kuheshimu Mali ya mwenzio ni UTU. Kulelea tabia za cave people kwa kisingizio cha utu huo ni ujinga. Ni bora nipigwe pasi ijulikane lakini Jitu lisilojua ata bei ya gari lina kuja kukaa kihasarahasara kwangu haipo lazima nikutimue tu. By the way siendeshi vigari vyenu vya kijapani vya sh kumi kumi.Kuegemea tu gari unalialia hvyo sasa ukipigwa pasi si utapiga mayowe mjini. Kweli siku hz watu wanathamini vitu kuliko mtu
sh kumi kumi...jaman Dunia hadaa kiatu chake dawaKuheshimu Mali ya mwenzio ni UTU. Kulelea tabia za cave people kwa kisingizio cha utu huo ni ujinga. Ni bora nipigwe pasi ijulikane lakini Jitu lisilojua ata bei ya gari lina kuja kukaa kihasarahasara kwangu haipo lazima nikutimue tu. By the way siendeshi vigari vyenu vya kijapani vya sh kumi kumi.
HahahaWamenikwangulia rangi sana sana na sarawili za jeans, zipu wakigeuka zinakwangua rangi. Ni tabia mbaya sana kusema ukweli japo watu wanaona mwenye gari anajidai. Niliwahi kukuta wamelia hapo chips na soda gari wameigeuza meza.....
Basi nia ya thread yako ilikuwa kutuambia aina gani ya gari unayotumia swala gari yako kuegemewa ilikuwa njia tu. Haya tuambie ni gani hyo ya mamilion isiyoegemewaKuheshimu Mali ya mwenzio ni UTU. Kulelea tabia za cave people kwa kisingizio cha utu huo ni ujinga. Ni bora nipigwe pasi ijulikane lakini Jitu lisilojua ata bei ya gari lina kuja kukaa kihasarahasara kwangu haipo lazima nikutimue tu. By the way siendeshi vigari vyenu vya kijapani vya sh kumi kumi.
Hii tabia ya kuegemea magari ya watu hovyo hovyo tu ipo sana hasa hasa jijini Dar Ee Salaam. Umepaki gari lako, salama bin salmin kutoka na kurudi unakuta Jitu limeegemea garil lako, tena kwenye taa, halijui hata bei ya taa wala rangi. Hii tabia ni kero sana naomba ikomeshwe.
Umetisha mkuuKuna Gari za Kuegemea na kuna Gari ambazo hata iweje huwezi jaribu kuiegemea.... vigari vya bei poa vingi hufanana na viti so kuegemea inakuja automatic tu
Kukaa ni tofauti na kuegemea mkuu. Hata mimi nilikua muegemeaji mzuri wa magari ya staff wa chuo lkn sikuwahi kukaaWatu mnaotoa povu wengi wenu hamjua kero ya hii tabia ya mtu kakaa mahala kaweka limwil lake kwenye bonet ya gari. Hii tabia hata mimi inanikera sana kwanza nimeshanyoosha bonet kama mara 5 hivi mtu anakaa gar zenyewe zina bodi nyepes yye analala hapo. Kwakwel mm nikimkuta lazima nimpe kubwa
mkuu watimue siku upate ajali wakuache ufie humo ndani tena wakuibie kila kitu.Kuheshimu Mali ya mwenzio ni UTU. Kulelea tabia za cave people kwa kisingizio cha utu huo ni ujinga. Ni bora nipigwe pasi ijulikane lakini Jitu lisilojua ata bei ya gari lina kuja kukaa kihasarahasara kwangu haipo lazima nikutimue tu. By the way siendeshi vigari vyenu vya kijapani vya sh kumi kumi.
Tuondolee povu hapa na kigari chako cha mkopo.Hii tabia ya kuegemea magari ya watu hovyo hovyo tu ipo sana hasa hasa jijini Dar Ee Salaam. Umepaki gari lako, salama bin salmin kutoka na kurudi unakuta Jitu limeegemea garil lako, tena kwenye taa, halijui hata bei ya taa wala rangi. Hii tabia ni kero sana naomba ikomeshwe.
Hahahah
Huu uzi
Tusio na magari tumechukia vibaya mno
Hatutaki utani sisi
Ukijifanya una roho nzuri eti watu wataniona mbaya, utaishia kupata hasara mpaka ukome!
Mi mchana wa saa saba lunch time, nimeenda napopaki ( mwendo wa dk 3 na ofisini)
Huwa mda huo naenda kujilaza garini, wale waoshaji ni (wadada wafanya usafi hiyo sehemu) basi wamejaa kwenye boneti, matambara na ndoo zao za kuoshea Magari vyote wamevipandisha juu ya boneti la gari yangu, wanasubiri kula vichwa!
Nimeishia kuwaangalia tuu maana siwezi maneno na wanawake nna hasira mnoo!
Binafsi sipendi mtu asiyeheshimu kitu cha mwenzake!
Na wanaoponda humu mostly hawana magari so hawajui thamani ya kulihandle au la wana vigari vya zamani ( NO. A on fleek!!!)Hawa watoa povu hawajui madhira tunayopata wao wanadhan gari ni kama ndoo ya kuchotea maji