Tabia ya kuegemea magari ya watu

kwani akiiegemea hiyo gari kuna hasara yoyote unayoipata ????? au anaichubua rangi????? kwa usawa huu wa magu hujui ya kesho ikeme hiyo roho ikutoke
Wanakwangua rangi, kwa kujua au kutokujua. Ni uharibifu.
 
Unaabudu magari, umaskini huo.
 
Waliokopa magari utawajua tu kwa matendo yao
 
mimi nina kastarlet kangu namba A kwakweli sijawahi kumkuta mtu ameegemea hata siku moja
 
[emoji23] [emoji23]
 
Mkuu acha roho mbaya.
Kuegemea tu unalalamika nikajua labda wamekuharibia kumbe hutaki tu liegemewe basi.
Utakuwa na tatizo wewe si bure.
 
acha roho mbaya unaonekana hata lift hutoi
 
Sina ugeni wowote, lakini ni tabia ya watu wasiona upeo na hii inadhihirishwa na wachangiaji wengi, nimekaa nchi kibao Huu upuuzi ni hapa dar tu ndio naona umeshamiri.
Ndiyo nyumbani kwenu sasa no way out you have to accept it!!
 
Naunga mkono hoja. Wengine anapark karibu yako halafu anafungua mlango wake kwa nguvu na kukuachia alama. Halafu anaendelea na shughuli zake kana kwamba hamna kilichotokea, hana habari.
Sasa siuende kwa fundi kurekebisha hako kamchubuko tu.
 
Kuegemea tu gari unalialia hvyo sasa ukipigwa pasi si utapiga mayowe mjini. Kweli siku hz watu wanathamini vitu kuliko mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…