Tabia ya kudai vizawadi kazini

Tabia ya kudai vizawadi kazini

jema rashid

Member
Joined
Oct 4, 2014
Posts
80
Reaction score
15
kumekuwa na vitabia vya watumishi wanaoishi/fanya kazi makao makuu ya wizara kuomba hata kulazimisha kuletewa vizawadi kutoka kwa wafanyakazi wa mikoani hasa pale wanapokuja kushughulikia mambo yao ya kikazi wizarani.

Utasikia mbona unakuja bila michele, maharagwe, samaki na kadhalika. Tabia hii inakera sana wakati mshahara mnapata sawa au anakuzidi.

WanaJamiiForums hii tabia ni ya kukemea kabisa!
 
.......wakikuomba zawadi wambie wao si wako jikoni!!
 
Hahaaa.

Sasa wewe hubebi hata Nazi,file lako litatafutwa na nani!!!!!mbebee hata maboga kirikuu nzima utaona kazi itakavyokuwa nyepesi.
 
Hata mi sipendi tabia hizi za kuomba omba
 
Back
Top Bottom