Kwani wewe akiangalia simu yako una shaka gani...?Habari za leo wakuu! Naimani kila mmoja wetu anaendelea vizuri na shughuli za kulijenga taifa letu pendwa.
Jamani kuna watu imekuwa kama asili yao kufuatilia kila kitu kinachoendelea kwenye simu ya mwenza wake kuanzia calls, texts n.k. Hivi ni nini njia ya kumbadilisha mtu kama huyu ili angalau apunguze hii tabia.
Nami ninae mtu Kama huyu. Sijui nini dawa yakeHabari za leo wakuu! Naimani kila mmoja wetu anaendelea vizuri na shughuli za kulijenga taifa letu pendwa.
Jamani kuna watu imekuwa kama asili yao kufuatilia kila kitu kinachoendelea kwenye simu ya mwenza wake kuanzia calls, texts n.k. Hivi ni nini njia ya kumbadilisha mtu kama huyu ili angalau apunguze hii tabia.
unajivunia kutokuwa mwamunifu.?Akikutana na kitunguu siku moja kitakachomtoa machozi haki hatorudia tena kwaiyo msifutege hivyo vitu
Naturally binadamu hatupendi kuchunguzwa.... Ipo yaani... Hata kama Hina baya ufanyalo, the fact kwamba inachunguzwa hakuna apendaye...Kwani wewe akiangalia simu yako una shaka gani...?
unajivunia kutokuwa mwamunifu.?