Tabia tupa kule, mtoto mkali ni heshima

Tabia tupa kule, mtoto mkali ni heshima

Mtu anaoa mwanamke anayemfurahisa yeye na anayeona watatimiza ndoto zao pamoja.
Huwezi oa mwanamke akaonekana mzuri kwa kila tu wala akaonekana mbaya kwa kila mtu. Cha muhime awe mzuri kwako Muoaji.

Huowi kwa ajili ya watu.. Mke ni wa kwako WEWE. Maonyesho waachiwe akina Lundenga.

mazee mambo za tabia dizaini kama ni uduanzi tu mana hazi play role kubwa kwa upande wa mitoko na bby mama mtoto kama anaita hata confidence ya kutembea nae kwa mtaa ni kubwa pia kuzisaka ili azidi kungaa dah shepu na sura ndo mpango tabia vijijini hukoo
 
Kuplay Nakosema, Si Kwa Kitu Kimoja Tuu...Vingi Ambavyo Ukimfanyia Mwanamke Unamuweka Kwenye Asilimia Kubwa Za Kuwa Wako Pekee Believe, Yaan Mwanaume Afiti Kila Idara Mpka Mwamke Anakua Ana Hamu Na Kwingne, Lakin Kma Mwanaume Matatizo Kwenye Kila Idara, Hii Shidaa!!!!
 
ngoja umpate mchafu na mwizi wa tabia jumlisha dharau ndio utajua tabia ndio mpango
 
Mapenzi hayana formula mkuu. Hutofautiana kwa mtu na mtu.

Ila pamoja na tofauti hiyo bado tunahitaji kujiuliza "tunataka mwanamke ili iweje?"

Kama unahitaji mwanamke kwa ajili ya kuoa,basi mfuate yule ambae moyo wako utakuwa na furaha naye. Na ukimpata,utajihisi ni mtu mwenye furaha na bahati sana katika dunia hii.

Ila kama unahitaji mwanamke kwa ajili ya kuuzia sura ili na wengine wakusifie,basi tumia hivyo vigezo vyako. Zidi kumpendezesha ili ang'ae na kusifiwa zaidi huko apitapo.

But ikitokea wenye hela na kujua matunzo zaidi yako wakambeba,husijinyonge wala kunywa sumu njoo hapa hapa MMU anzisha thread ya kuomba ushauri kama wenzako wanavyofanyaga.

#Analyse
 
Huna haja ya kuoa, na atakayeolewa nawe atajuta. hata sura baada yamuda haitakua kama ulivyoina mwanzo
 
Mapenzi hayana formula mkuu. Hutofautiana kwa mtu na mtu.

Ila pamoja na tofauti hiyo bado tunahitaji kujiuliza "tunataka mwanamke ili iweje?"

Kama unahitaji mwanamke kwa ajili ya kuoa,basi mfuate yule ambae moyo wako utakuwa na furaha naye. Na ukimpata,utajihisi ni mtu mwenye furaha na bahati sana katika dunia hii.

Ila kama unahitaji mwanamke kwa ajili ya kuuzia sura ili na wengine wakusifie,basi tumia hivyo vigezo vyako. Zidi kumpendezesha ili ang'ae na kusifiwa zaidi huko apitapo.

But ikitokea wenye hela na kujua matunzo zaidi yako wakambeba,husijinyonge wala kunywa sumu njoo hapa hapa MMU anzisha thread ya kuomba ushauri kama wenzako wanavyofanyaga.

#Analyse

Nasisi kama kawaida yetu tutampatia ushauri utakaoambatana na michambo, mizodo na mishushuo juu yake.!
 
Nasisi kama kawaida yetu tutampatia ushauri utakaoambatana na michambo, mizodo na mishushuo juu yake.!

Hahahaha,sure mkuu....ushauri tutampa,lakini chamoto lazima akione
 
Back
Top Bottom