Tabia tupa kule, mtoto mkali ni heshima

Tabia tupa kule, mtoto mkali ni heshima

NileSat

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2015
Posts
340
Reaction score
182
Wapendwa,

Mambo ya tabia dizaini kama sio sawa mana hazina kazina kazi kubwa kwa upande wa mitoko na baby/ mama mtoto.

Kama anaita hata confidence ya kutembea naye kwa mtaa ni kubwa pia kuzisaka ili azidi kungaa.

Dah shepu na sura ndio mpango tabia vijijini huko.
 
We maisha yako ni kutoka eeh? Kuna watokaji zaidi yako, demu mwenye tabia mbaya ni jalala la mbegu
 
mazee mambo za tabia dizaini kama ni uduanzi tu mana hazi play role kubwa kwa upande wa mitoko na bby mama mtoto kama anaita hata confidence ya kutembea nae kwa mtaa ni kubwa pia kuzisaka ili azidi kungaa dah shepu na sura ndo mpango tabia vijijini hukoo

Mjini - Shape
Kijijini - Tabia
Aisii! haaya bhana
 
Kaka ukizinguliwa na mwanamke huyo hata uzuri wake utauona ndg yangu usicheze na maisha mwanamke tabia
 
-Una Umri gani?

-Unazungumzia Malaya/Mchepuko au MKE AMBAYE NI MAMA WA WATOTO WAKO?
 
Well said[/QUO
Yani hadi huruma ukiwaangalia mawazo yao yani hata stage ya chuo anakuwa anajua maana ya maisha huyo ni form four nahisi duh! Wanafikiri maisha ni kuwa kama wasanii yeye anawaza kutinga kama Daimond na baby mama wake nusu uchi
 
Back
Top Bottom