Tabia ni zaidi ya elimu!

Tabia ni zaidi ya elimu!

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
36,634
Reaction score
89,398
gettyimages-467000192-e1503141568574.jpg


huo ndo ukweli mchungu!.
Tabia huathiriwa na ujazo wa ufahamu wako huku ukichagizwa na mazingira.
Nivyepesi kuelimika lkn nivigumu kuitumia elimu hiyo kupingana na TABIA zako!.

haijalishi una phd,profesa,daktari n.k hivyo vyote umesomea lkn visikusaidie ktk kupambana na tabia zako,lbd utaweza kwa asilimia chache tu!.
Tabia yako ni picha yako halisi na kuificha unahitaji uvumilivi na ustahimilivu wa hali ya juu.

Leo hii kuna viongozi wamekuwa wakinena mambo na wananchi wanayajadili kwa ukali kiasi kwamba hata kujikuta ktk mikono ya serikali!,kumbuka kiongozi ni binadamu nae pia ameathiliwa na tabia zake,hivyo anaweza kuzionyesha mbele yenu kwa kunena au hata kwa lugha ya mwili.
Viongozi na wananchi wote wanahitaji elimu ya saikolojia alasivyo watu wengi wataendelea kutumbukia shimoni pasipo kutambua... na mwenye kuelewa na aelewe.
 
Nashangaa watu wanaotaka kubadili tabia ya Pombe
 
Una hekima na busara kubwa sana Mkuu. Wengine husema yule kasoma lakini hajastaarabika au hajaelimika.

Mifano hapo nchini mwetu iko mingi sana ya vitendo na kauli za “wasomi” visivyoendana na viwango vya elimu yao.

gettyimages-467000192-e1503141568574.jpg


huo ndo ukweli mchungu!.
Tabia huathiriwa na ujazo wa ufahamu wako huku ukichagizwa na mazingira.
Nivyepesi kuelimika lkn nivigumu kuitumia elimu hiyo kupingana na TABIA zako!.

haijalishi una phd,profesa,daktari n.k hivyo vyote umesomea lkn visikusaidie ktk kupambana na tabia zako,lbd utaweza kwa asilimia chache tu!.
Tabia yako ni picha yako halisi na kuificha unahitaji uvumilivi na ustahimilivu wa hali ya juu.

Leo hii kuna viongozi wamekuwa wakinena mambo na wananchi wanayajadili kwa ukali kiasi kwamba hata kujikuta ktk mikono ya serikali!,kumbuka kiongozi ni binadamu nae pia ameathiliwa na tabia zake,hivyo anaweza kuzionyesha mbele yenu kwa kunena au hata kwa lugha ya mwili.
Viongozi na wananchi wote wanahitaji elimu ya saikolojia alasivyo watu wengi wataendelea kutumbukia shimoni pasipo kutambua... na mwenye kuelewa na aelewe.
 
Hili jukwaa la picha jombaa..
Ulitaka niweke kichwa cha habari hlf na hiyo picha tu..? ingekuwa ngumu kunielewa!.. ningelifanya hivyo lkn ingefaidisha nini..?
 
Back
Top Bottom