Tabia Nane za watu wapole

Watu wengi huwa mnatafsiri upole wa mtu ni ujinga,sasa siku mtu akikuonesha kuwa sio mjinga ndipo mnapokuja kusema watu wapole ni wabaya.

Sasa labda wewe ndiyo umepitia hali hiyo.
 
Sorry mkuu!!! Kwani kuna tofauti yoyote kati ya mtu mpole na mtu anaependa kuombewa au kumtaja mungu kila wakati ???
 
Big up mkuu! Kiukweli sisi watu wapole unaweza ukakaniwa hata na mtu mwenyewe uliyemwibia!
 
umesahau tabia nyingine wanajiuaga kwa sumu au kujipiga risasi bila sababu za msingi na kuwafanya watu wabaki midomo wazi .
Mimi ni mpole na mkimya, lakini sijawahi kifikiria kujiangamiza kiboya hivyo.
 
Haaa haaa....umeona ehh!

Mpole mara nyingi ndo huyo huyo mkimya...wana libalaaa lao hilo

Akikuchukia hasemehi, full vinyongo huku katulia tu! Sasa hiyo si murder case inatafutwa
 
Watu wengi huwa mnatafsiri upole wa mtu ni ujinga,sasa siku mtu akikuonesha kuwa sio mjinga ndipo mnapokuja kusema watu wapole ni wabaya.

Sasa labda wewe ndiyo umepitia hali hiyo.
Hamna mkuu...napenda nikimkosea mtu aniambie hapo hapo niombe radhi mambo yaishe tusonge mbele ( sababu hakuna mkamilifu na naweza fanya kitu mi nikaona poa kumbe yy nimemkwaza mbaya)...sasa hawa watu hakwambii wala nini siku ya kurevenge ndo utajua balaa lake
...maisha gani sasa hayo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…